Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
April 6, 2018
HATUA YA 320: Hivi Ndio Namna Ya Kutabiri Mwisho Wako.
Jipatie Vitabu vya Biashara na Mafanikio… https://jacobmushi.co.tz/vitabu/ Mti unajulikana kwa matunda yake. Aina ya matunda ambayo mti unatoa ndio tunasema huu ni mti F…
-
April 5, 2018
#HEKIMA YA LEO: Kimbizana Na Ndoto Zako.
Hello, Unatumia Mtandao wa Instagram? Bonyeza hapa uni follow ili upate madini ninayoweka kila siku… http://www.instagram.com/jacobmushi Wakati wengine wanakimbizana na…
-
April 5, 2018
HATUA YA 319: Ni Ukweli au Ni Hofu Tu?
Bonyeza hapa upate offa ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ Miaka michache iliyopita katika nchi moja hapa barani A…
-
April 4, 2018
#HEKIMA YA LEO: Tafuta Kawaida Nyingine Kila Wakati.
Bonyeza hapa upate offa ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ Tafuta kawaida nyingine kabla hiyo uliyoipata hujaizoea…
-
April 4, 2018
HATUA YA 318: Ukishindwa Wewe, Sio Kila Mtu Atashindwa.
Offa, Ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ “Because a thing seems difficult for you, do not think it impossible for…
-
April 3, 2018
#HEKIMA YA LEO: Unamwangalia Nani?
Kila mmoja wetu kutokana na anachokifanya kuna mtu aliefanikiwa zaidi yake. Ni muhimu sana kujua unaemtazama na ni vitu gani unajifunza kwake. Hakuna mtu ambaye atakuwa…
-
April 2, 2018
#HEKIMA YA LEO: Unyenyekevu Utakulinda.
Unawafahamu watu ambao wakiwa na shida wanakuja kwako kwa upole wakinyenyekea sana. Lakini wakishapata wanasahau na kuanza kuonyesha tabia zao halisi. Wako watu wa aina hii…
-
April 2, 2018
Offa Offa Offa, Ya Vitabu Bora Mwezi April.
Offa Hii Imekwisha muda wake. Unaweza kupata vitabu kwa bei za kawaida hapa.. https://jacobmushi.co.tz/vitabu/
-
April 2, 2018
HATUA YA 317: Umejifunza Nini?
Inawezekana wewe ni Mkristo na umekuwa unaikumbuka hii siku kuu ya Pasaka kila mwaka, lakini lipo swali la muhimu kujiuliza. Je tunajifunza nini? Pia haijalishi wewe…
-
April 1, 2018
#HEKIMA YA LEO: Wakati Mwingine Jifunze Kuyatazama Mambo Jinsi Yalivyo Kwanza…
Ni vyema kuelewa kwamba kuna tofauti ya kuwa chanya kwenye mambo na kupotezea ukweli halisi wa jambo lenyewe. Kuna nyakati ili uweze kutatua mambo kwenye maisha…
-
April 1, 2018
HATUA YA 316: Kukosea ni Kujua Njia Nyingi Zaidi.
Ulishawahi kwenda mahali ukapotea njia? Unajua ni faida gani unapata baada ya kupotea njia? Kwanza unakuwa umejua njia nyingine ambayo haiendi kule ulipokuwa unakwenda. Pili u…
-
March 31, 2018
HATUA YA 315: Hiki Ndio Kipimo cha Thamani ya Unachokifanya.
Lipo swali moja ambalo unapaswa kujiuliza kila wakati kwenye kile ambacho unakifanya kila siku. Inaweza kuwa ni kazi yako, kipaji, biashara au chochote kile kinachokuhusisha w…
