Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
November 28, 2018
403; Maneno Yao Sio Uhalisia Wako.
Wanaweza Kusema yule jamaa alifeli shule hajaweza kufika hata chuo hawezi chochote. Wanaweza kusema yule dada kila mahusiano yamemshinda hawezi kutulia na mwanaume. Wanaweza k…
-
November 27, 2018
402; Mtu Huyu Anakudanganya.
Ulishawahi kutaka kukutana na mtu akakujibu kwamba hana muda? Umewahi kujiuliza ni kwanini anasema hana muda? Je kuna ukweli wowote pale anapokwambia hana muda? Wanadamu wote…
-
November 26, 2018
401; Kila Kitu Kilianza Kama Wazo.
Tangu mwanzo wa kuumbwa kwa ulimwegu huu kila kitu kilianza kama wazo. Mungu alikaa akawaza kuleta uhai katika sayari ya dunia baada ya sayari hii kuwa…
-
November 18, 2018
Ni wewe Mwenyewe Umechagua 18/11/2018.
“Mwaka 2016 tulikuwa kwenye msiba wa jirani yetu ambaye alifiwa na mama yake. Siku hiyo watu walikuwa wanalia sana na kusikitika kwa kifo kile kilichotokea. Kitu…
-
November 9, 2018
VITU 5 UNAVYOPASWA KUVIFAHAMU ILI UWEZE KWENDA NA KASI YA MABADILIKO-9/11/2018
Tupo kwenye dunia ambayo kila kukicha kunakuwa na mabadiliko mapya katika sehemu mbalimbali hasa za kiteknolojia. Kama mwanadamu ukishindwa kwenda na kasi hii kuna mambo mengi…
-
November 8, 2018
Usisubiri Hadi Ujisikie Vizuri-8/11/2018
Ni kweli hakuna kuchelewa katika mafanikio yaani hata kama una miaka 60 sasa hivi bado unaweza kuchukua hatua na kuitimiza ndoto yako. Wapo pia watu wanasema…
-
November 3, 2018
Hutaondoka Ukiwa Hai -3/11/2018
Kwa vyovyote vile hata kama utaogopa kufanya mambo yaliyo makubwa, hata kama utaogopa kupoteza pesa zako bado huwezi kuondoka duniani ukiwa hai. Kama unaogopa kupata msongo…
-
November 2, 2018
Kufanikiwa au Kufa-2/11/2018
Kama unafikiri kutafuta pesa ni ngumu basi jaribu kukaa bila pesa uone ilivyo rahisi. Naomba nikwambie Rafiki mafanikio sio lelemama yaani sio kitu ambacho kinakuja chenyewe…
-
November 1, 2018
Kufanikiwa Au Kufa 1/11/2018
Ukitaka vitu vya tofauti ni lazima ukubali kufanya vitu ambavyo hujawahi kufanya. Kama unataka kufanya vitu ambavyo hujawahi kufanya lazima ukubali kufanya maamuzi magumu amba…
-
October 26, 2018
26/10/2018 Maisha Yako Ya Sasa Ni Matokeo ya Kitu Hiki..
Aliwahi kusema Charlie Jones kwamba utakuwa mtu yule yule miaka mitano ijayo isipokuwa watu utakaokutana nao na vitabu utakavyosoma. Hii ina maana kwamba kama utaendelea kubak…
-
October 25, 2018
25/10/2018 Uepuke Mtego Huu Uliowaangusha Wengi.
Unapokuwa huna chochote cha thamani huwezi kuona mtu yeyote akionesha kuvutiwa na wewe. Wakati mwingine unaweza kuwa unafanya mambo ya maana sana lakini ukashangaa hakuna mtu…
-
October 24, 2018
400: Hakuna AnaeKulazimisha.
Ulipokuwa mtoto kuna nyakati ulikuwa ukichelewa kuamka unakuja kuamshwa na viboko au wakati mwingine unamwagiwa maji. Kuna wakati pia ulikuwa unalazimishwa kusoma kwa bidii na…
