USIPOCHUKUA HATUA, WENGINE WATAICHUKUA

USIPOCHUKUA HATUA, WENGINE WATAICHUKUA

Mwaka 2016/17 nikiwa Arusha, mimi na rafiki yangu tulipata wazo kubwa: kutengeneza app au mfumo wa kusaidia watu kukata tiketi za mabasi mtandaoni, mkoa kwa mkoa. Tulikaa kwenye hoteli maarufu Palace Hotel, tukapanga kila kitu kwa kina, na kuandika yote kwenye notebook ambayo bado ninayo hadi leo. Tulianza hatua za awali: kutafuta takwimu za idadi…

Kama Ungefanya Uamuzi Huu Mwaka 2020, Leo Ungekuwa Milionea

Kama Ungefanya Uamuzi Huu Mwaka 2020, Leo Ungekuwa Milionea

Mwaka 2020 ulikuwa wa changamoto nyingi, lakini pia ulikuwa na fursa nyingi sana kwa wale waliokuwa tayari kuchukua hatua. Wengi wetu tulikuwa tunahangaika na hofu, hatari, na kutokujua mustakabali, ila wapo waliothubutu kufanya maamuzi madogo yaliyowaletea matokeo makubwa miaka michache baadaye. Leo nataka tukumbuke mfano rahisi wa uwekezaji ambao ulionekana mdogo, lakini ulikuwa na nguvu…

MAMBO 10 UNAYOFANYA KILA SIKU YASIYO NA MSAADA WOWOTE KWENYE MAISHA YAKO

MAMBO 10 UNAYOFANYA KILA SIKU YASIYO NA MSAADA WOWOTE KWENYE MAISHA YAKO

Katika maisha, kila mtu ana saa 24 kwa siku, lakini tofauti ya mafanikio kati ya watu hutegemea jinsi wanavyotumia muda wao. Kuna mambo mengi tunayoyafanya kila siku ambayo hayana msaada wowote kwenye maendeleo yetu ya kiuchumi, kielimu, na hata kiafya. Hapa nakuletea mambo 10 ambayo huenda unayafanya kila siku lakini hayakusaidii chochote—na mbadala wake utakaoleta…

405; Sio Lazima Ufanane Nao

Furaha itakuja pale ambapo utaanza kuishi Maisha ambayo moyo wako unataka na sio vile ambavyo watu wanataka uishi. Furaha ya kweli ipo ndani yako na utaweza kuipata kwa kuishi kile ambacho Mungu ameweka ndani yako. Hakuna haja ya kuishi Maisha vile ambavyo jamii inakulazimisha wewe uishi, vile jamii ambavyo imetengeneza na kutoa maana ya Maisha.…

#HEKIMA YA JIONI: Kuchukua Hatua.

Hatuhitaji watu wengi wanaoweza kulielezea jambo Fulani vizuri bali tunahitaji watu wachache wanaoweza kuchukua Hatua juu ya jambo husika. Tuna upungufu wa watu wanaochukua Hatua ndio maana hatuna maendeleo.   Badala ya kuendelea kuongea maneno matupu fanya kile kilichopo kwenye uwezo wako kwanza. Kwa kupitia hicho ndio utaona uwezekano wa kufanya makubwa Zaidi. Tuna wengi…

Mambo 5 Ambayo kila Mjasiriamali Anapaswa Kuwa Nayo.

Habari za leo ndugu msomaji wa makala hizi kila siku ndani ya USIISHIE NJIANI. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na maisha yako.  Leo tunazungumzia mambo ambayo kila mjasiriamali anapaswa kua nayo ili aweze kufanikisha kile anachokifanya. Tujifunze pamoja. 1. Mbunifu Mjasiriamali yeyote kama unataka kua wa tofauti na wenzako na kuleta thamani kwa mteja wako…

HATUA YA 295: Hakuna Chenye Thamani Kinachopatikana Bila..

I never did anything worth doing by accident, nor did any of my inventions come by accident; they came by work. Plato Sijafanya kitu chochote kilicho cha thamani katika kufanya kwa ajali, wala hakuna uvumbuzi wangu uliokuja kwa ajali; vyote vilikuja kwa kufanya kazi. Plato Hii inatuonyesha kwamba chochote kile ambacho unafikiri kina thamani kubwa…

Vinavyowezekana na Visivyowezekana.

Mara nyingi tunapenda Zaidi kufanya yale ambayo yanawezekana kwenye uwezo wetu wa akili. Sio vibaya lakini unakuwa hakuna cha tofauti ambacho utakipata. Watu wote ambao wameweza kugundua mambo makubwa na yakaleta mapinduzi kwenye dunia na kwenye Maisha yao walijaribu yale ambayo yalionekana kama hayawezekani kabisa. Vile vyote ambavyo vinawezekana vinakufanya wewe uwe sawa na wengine…