Funguo kazi yake kuu ni kufungua na kufunga. Popote kwenye vitu vya thamani kunakua kumefungwa na ulinzi wa kutosha. Mmiliki peke yake ndio hua na ufunguo. Yeyote anaengia lazima awe na ruhusa kutoka kwa mmliki wa sehemu hiyo. Ili uweze kusogea mbele ufungue milango ya fursa na kila aina ya kitu kizuri unachokihitaji unahitaji…
SIKU TULIVU NA JACOB:
Muda ndio maisha yetu maana ndio thamani ya pekee tuliyonayo kuliko chochote. Unapompa mtu muda wako unakua umempa kitu cha thamani sana kuliko kitu chochote kile. Unakua umemgawia sehemu ya maisha yako. Watu wengi wanashindwa kuthamini muda kwasababu hawajajua thamani yake. Mtu anapotenga muda kwa ajili yako ni sawa na ametoa sehemu ya maisha yake…
Thamani yako Ndio Inakulipa.
Nilikua nazungumza na mchekeshaji mmoja nikawa namuuliza maswali haya; Tunasikia wewe ni tajiri umewezaje kua na pesa wakati unafanya kitu cha kawaida sana cha kuchekesha watu? Akajibu akaniambia; Kadiri watu wanavyocheka ndivyo ninavyotengeneza hela” Nikamuuliza; unafanyaje ili watu waendelee kucheka kila wakati maana wasipocheka hutengenezi pesa! Akaniambia; ili watu wacheke Zaidi naongeza thamani ya vile…
NENO LA LEO
Mambo maovu yote yanayoendelea duniani yanasababishwa na watu wengi kuishi bila kutambua makusudi ya wao kuwepo duniani. Mtu anapozaliwa anakua na uwezo mkubwa sana ndani yake kwa ajili ya kumwezesha kulitimiza kusudi lake na anaposhindwa kuzitumia nguvu hizo Shetani huzitumia. Ndio maana tunaona watu wanakua waovu na wakitenda mambo mabaya yasiyofaa hiyo yote ni nguvu…
Nguzo 10 za Mafanikio
Habari za Leo ni matumaini yangu u mzima na unaendelea vyema. Leo tuanajifunza nguzo 10 za mafanikio yako. Ukiweza kuzisimamia nguzo hizi lazima utaona mabadiliko na kusonga mbele kuelekea kwenye ndoto zako. Karibu tujifunze pamoja mpaka mwisho. Jua kusudi la kuzaliwa kwako. Nguzo ya kwanza na ya muhimu sana ni wewe kutambua kwanini ulizaliwa. Upo…
Tabia Ya Uvumilivu Ni Muhimu Ili Ufanikiwe
Habari ya leo ndugu Msomaji. Ni matumaini yangu unaendelea vyema katika mapambano yako ya maisha. Tunaendelea na mfululizo wa Makala za tabia kwasababu mafanikio yeyote yanaletwa na tabia mbalimbali zinazojengwa kwa kurudiarudia kila siku. Kuna vitu ambavyo hutakaa uvisahau maishani mwako hata ukiwa umelala kitandani unaumwa. Mfano ni silabu, a, e, i, o, u hizi…
NI KITU GANI KINAKUZUIA WEWE USHINDWE KUTOA?
Habari za leo ndugu msomaji. Ni matumaini yangu umemaliza vyema weekend yako. Leo ni jumatatu nyingine tena ambayo tunakwenda kuongeza uzalishaji wetu karibu sana. Jana nilihudhuria kanisani nikakutana na Ushuhuda wa ajabu sana. Mtoto mdogo alieko shule ya msingi aliamua kwenda shule kwa miguu siku zote ili nauli yake akatoe kwa watoto yatima. Nauli ya…
Wateja Hawa wanakupotezea Muda
Habari za leo Ndugu natumaini unaendelea vyema na majukumu yako. Ninachofahamu ni kwambakila mmoja kuna kitu anauza hata kama umeajiriwa unauza ujuzi wako kwa mwajiri wako. Lakini leo nakwenda kuzungumzia juu ya wateja na changamoto walizonazo. Mteja anaekwambia kwamba atachukua au ataanza bila kuweka Commitment yeyote ya tarehe au siku ambayo atachukua bidhaa au…