Millionaire Mindset Training

Kokote kule utakapo kwenda utakutana na binadamu wenye tabia za tofauti na kuna kitu cha kujifunza kwao.  Wengine watakua wazuri kwako, wengine watakuumiza, wengine hawatajali chochote unachofanya au ulichonacho.  Hiyo ni kawaida ya binadamu hata wewe pia kuna unaowaumiza kwa kujua au Bila kujua.  Kuna unaowafanya wafurahi kwa kujua au bila kujua.  Kuna ambao hujali…

Hakuna wa Kukuzuia

Katika zama hizi za Ulimwengu wa Kiteknolojia mambo mengi sana yamerahisishwa mno. Kwa chochote unachokifanya kama kinahitaji kuwafikia watu njia za kuwafikia zimekua rahisi sana. Kama unatengeneza bidhaa na unataka kuwafikia wateja wengi Zaidi kila kitu unaweza kufanya kwa kupitia kiganja chako. Kama wewe unaimba huhitaji kwenda kuomba redioni tena wapige nyimbo zako unaweza kuzifikisha…

SIKU TULIVU.

Haijalishi unapitia magumu kiasi gani wakati huu, naendelea kukutia moyo kwamba unakoelekea kuna matumaini makubwa, ndoto yako inakwenda kutimia. Yawezekana umefika sehemu unaona giza mbele yako, unafikiri ni mwisho wa kila kitu. Lakini leo napenda kukwambia kwamba bado safari inaendelea na utafikia kile unachokipigania. Usikate tamaa, mwisho wako ni mzuri sana.Upo hai kwasababu maalumu. Jacob…

Hasira zinazoleta mabadiliko.

Habari za siku ya leo ni matumaini yangu kwamba unaendelea mbele vyema. Leo tunakwenda kuiona hasira ambayo inaleta mabadiliko katika maisha yetu. Kila kitu kilichopo ndani yetu kinaweza kutumika vizuri kikabadilisha maisha yetu au kikatumika vibaya kikaharibu maisha yetu. Tukiweza kujifunza vyema vitu hivi vitaweza kutusaidia sana katika kuleta mabadiliko.   Kua na huzuni juu…

Usipojua unachotaka

Huwezi kupewa, Huwezi kuonyeshwa jinsi ya kukipata, Hata ukipata hutajua kama umekipata maana hujui unachotaka. Huwezi kujua cha kufanya utafanya kila kinachokujia mbele yako.Huwezi kukataa utajikuta unakubali kila kitu,Huwezi kuomba,Huwezi kua na maono,Huwezi kua na ndoto,Huwezi kua na malengo,Huwezi kua na mipango.Hakikisha sana umejua unachokitaka. Kingdom of Success Jacob Mushi 2016 ushauri@gmail.com

Wasamehe.

Wako wengi sana waliokuumiza moyo katika safari yako na inawezekana uliumizwa sana na hata kusema hutasamehe. Leo ni nafasi ya kwako kuondoa yote ndani ya moyo wako ili uwe huru uweze kuondoka ukiwa salama. Inawezekana wanakwambia kwamba hutaweza unachokifanya wamefanya wengi wakashindwa. Dawa sio kufanya ili uje kuwaonyesha kwamba unaweza au kuacha na kukata tamaa.…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓