Aina 4 za Watu Katika Safari Ya Mafanikio.

Habari Rafiki, leo kwenye mbinu za mafanikio tunakwenda kuwaona watu aina nne tulionao katika safari ya mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanatamani sana kufikia mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanahamasika sana wakiona wengine wamepiga Hatua Fulani kwenye Maisha. Lakini tunatofautiana sana katika hao wengi kwenye mchakato wa kufikia mafanikio. Katika watu wengi waliofikia…

KITABU:  Mwongozo wa KILIMO CHA TIKITI MAJI

KITABU: Mwongozo wa KILIMO CHA TIKITI MAJI

Baadhi ya Yaliyomo kwenye Kitabu hiki: Utajifunza shughuli zote za shambani kuanzia kuandaa shamba, upandaji, umwagiliaji, uwekaji mbolea, palizi, uvunaji n.k Vigezo vya kuzingatia katika uchaguaji wa shamba zuri pamoja na mbegu nzuri Utawafahamu Wadudu waharibufu na namna ya kuwadhibiti kikamilifu, pia Magonjwa yanayoathiri sana tikiti maji na namna ya kuyathibiti Utajifunza uchavushaji (pollination) kwenye…

HATUA YA 331: Ukielewa Hili Huwezi Kuwa na Maumivu Ndani ya Moyo.

“We suffer more often in imagination than in reality” ― Seneca Mara inaweza kuwa jambo dogo sana limetokea mahali lakini kwa kupitia fikra zetu tukajikuta tumekuza lile jambo na kuendelea kupata maumivu makubwa. Mwanafalsafa Seneca anasema tunateseka Zaidi katika vitu tunavyovifikiria kuliko vile vitu halisi. Mfano mdogo ni pale umempigia mtu simu hakupokea au akaikata unaweza…

HATUA YA 329: Ni Majukumu Yako, Hakuna Haja ya Kuwatangazia watu.

Mtoto mdogo anapofanya jambo la tofauti na alilozoea kufanya na akafanikiwa mara nyingi hupenda kwenda kwa mzazi wake na kumwonyesha huku amejawa na furaha sana. Inaweza kuwa ni mtihani shuleni au majukumu aliyopewa kutekeleza. Lakini tukija kwenye uhalisia kufaulu mtihani shuleni kwa mtoto ndio jukumu lake hasa. Anakwenda shuleni kusoma na kujifunza ili afaulu. Tunapokuja…

HATUA YA 327: Mbinu Ya Kuweza Kufanya Usiyoyapenda.

Tunasema ili ufanikiwe ni muhimu ukafanya kile unachokipenda. Ni kweli hili kabisa ila sasa katika kufanya kuna mambo utakutana nayo ambayo huyapendi kabisa. Hayo mambo yanaweza kuwa ya muhimu sana katika kufikia mafanikio. Mfano unafanya unachokipenda na lakini kinakulazimisha uamke mapema saa kumi. Hapo wewe unapenda sana kulala, itakubidi uamke mapema japokuwa unapenda kulala. Unapenda…

#HEKIMA YA LEO: Jambo Hili Lisikukoseshe Raha.

Kuna mambo ambayo yanaweza kukutesa na kukusumbua sana kwenye maisha yako. Kuna mengine yanakuwa mzigo mzito sana ndani yako. Kuna mahali unafika unajisikia kuchoka kabisa na unakuwa umekata tamaa kabisa. Kutokana na ugumu wa mambo mengine wengine hufikia maamuzi ya kutaka kujiua. Neno langu kwako leo ni kwamba usichoke, kuna mambo hata pesa haiwezi kuwa…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓