Neno moja Unalolihitaji ili Ufanikiwe

Najua unatamani kufanikiwa, sana. Kiasi kwamba ni kitu unachowaambia watu wengi kwenye maisha kwamba utafanya, kinachokufanya ufanye kazi kwa moyo wote, kinachokufanya ufikirie usiku na mchana kuhusu kesho. Mafanikio ni rahisi sana kuyapata ukijifunza nguvu iliyopo kwenye neno moja, HAPANA. Hapana ni neno jema na baya pia. Kama vile kisu kilivyo ukikitumia vizuri ni kizuri,…

KONA YA BIASHARA: Faida za Kuwa na Maono Kwenye Biashara Yako

Pasipo maono kwenye biashara yeyote watu wengi huishia njiani. Kama hakuna unapotaka kufika utakuwa unaridhika na kile unachokipata kila siku. Kama huna maono huwezi kuwa na mipango mipya wala mabadiliko labda tu hali iwe mbaya. Biashara nyingi zilizokosa maono huendeshwa kiholela, wamiliki wa biashara na hata wafanyakazi hawajui ni wapi wanataka kwenda. Wengi wanaishia kuangalia…

HATUA YA 335: Hamasa Yako ya Ndani Inaletwa na Nini?

Kila mtu kulingana na kile anachokitaka kuna namna anakuwa na hamasa ndani yake. Swali la kujiuliza ni kitu gani hasa kinakupa hamasa? Kitakachoamua udumu kwenye maamuzi uliyofanya ni kile chanzo cha hamasa yako. Kitakachoamua uweze kushinda changamoto ni kile chanzo cha hamasa yako ya ndani. Kama ndani yako hakuna kitu kinachokusukuma kufanya kama vile vya…

HATUA YA 334: Ukitaka Kuwa Mkubwa wa Wengine Kubali Hiki..

Kanuni ya kuwa Mkubwa wa wengine siku zote ni kutumika. Hakuna bosi alieweza kuajiri maelfu ya watu kwenye kampuni yake kama hakutoa muda wake akitumika hadi akafikia uwezo wa kuajiri. Hakuna aliefikia mafanikio makubwa na kujulikana na wengi kama hakutoa nguvu zake katika kuonyesha ule uwezo uliokuwa ndani yake. Hata kama una sauti nzuri ya…

HATUA YA 333: Usipoteze Muda Kwenye Kitu Hiki Kabisa.

Tunayaelewa mambo kulingana na uwezo wetu wa kufikiri na namna mitazamo yetu ilivyo. Kama ni hivyo basi utakuwa ni upotevu wa muda usio na msingi kabisa kama utakaa kwenye kundi la watu ukibishania, mpira, siasa, dini, au kitu kingine chochote. Kila mtu anaweza kutetea kile alichokiamini, sio rahisi ubadilishe Imani ya mtu kwa maneno matupu…

HATUA YA 332: Unajijengea Ukuta Au Unafungua Njia?

Katika Maisha yetu ya kila siku na vitu tunavyofanya kuna kitu ambacho tunatengeneza. Vile unavyoishi Maisha yako kuna picha watu wanaijenga kuwa wewe ndio hivyo ulivyo. Vile unavyoongea kuna picha watu wanajenga kwenye akili zao kwamba wewe ndio hivyo upo. Kama unaongea maneno ya hovyo picha itakayojengeka ni kwamba wewe ni wa hovyo. Kama utakuwa…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓