Wakati wa Asubuhi Ndio wakati ambapo watu wengi wenye mafanikio huanza siku zao. Wengi wanaamka mapema ila sio kwasababu ndoto zao zinawasukuma, wengine wanawahi kuamka kwasababu bosi wake ni mkali akichelewa. Asubuhi akili inakuwa haijachoka hivyo chochote utakachokifanya asubuhi kinakuwa na matokeo bora sana. Asubuhi hakuna usumbufu, watu wengi wanakuwa wamelala, mifugo, redio zimezimwa, Watoto…
Malengo Yako Yamefikia Wapi? Tumebakiwa na Robo Mwaka Sasa.
Habari Rafiki yangu. Utakuwa umeshtuka sana kusoma kichwa cha Makala hii, ukweli ni kwamba mwaka 2018 ndio umeisha hivyo. Tunasema imeabaki miezi miwili kwasababu mwezi wa 12 hatujauweka kwenye ratiba watu wengi ndio huenda likizo za kazi, wengi ndio mwezi wa kusherehekea. Itaendelea kubaki miezi mitatu kwa wale ambao wana biashara zao binafsi na lazima…
Njia Bora Ya Kuishi Kwenye Ulimwengu Huu Wenye Masumbufu Mengi
Tupo kwenye ulimwengu ambao kama usipokuwa makini unaweza kujikuta miaka inakwenda na hakuna cha maana ambacho umekifanya katika kuitimiza Ndoto yako. Ulimwengu huu wenye masumbufu ya kila aina ambayo yanatutoa kwenye mstari na kutufanya tuwe na matokeo hafifu kwenye kazi zetu. Dunia ya sasa unaweza kufanya jambo lako na baada ya dakika chache unajikuta umekata…
HATUA YA 390: Kumbuka Kitu Hiki Pale Wengine Wanapokukatia Tamaa.
Siku moja nilikutana na kijana mmoja anaitwa Baraka ambaye alikuwa na changamoto ya kukatiwa tamaa yaani kuchokwa na watu wa karibu yake kama wazazi, mpenzi wake na kadhalika. Baraka alinieleza kuwa ilifika mahali akasema sasa afanye nini tena maana kila anachokifanya wale waliomkatia tamaa wanakuwa wanaendelea kumkatisha tamaa. Ilifika mahali akiwaeleza wazo lolote jipya ambalo…
HATUA YA 389: KWANINI UNATAKIWA UMJENGEE MWANAO MTAZAMO HUU?
“Kile Unachokijua Kinakuathiri Sana Kuliko Unavyofikiri.” Nilipokuwa mdogo mtu mwenye mafanikio sana niliekuwa na mfahamu alikuwa anafanya kazi ya udereva. Hivyo nikawa nikiamini kwamba nikiwa Dereva na mimi nitakuwa na mafanikio. Niliendelea kuamini hivyo hadi nimefika darasa la saba. Hali hii ilisababisha mpaka wale ambao wananisomesha waliponiuliza unataka kuja kuwa nani nikawaambia nataka kuja kuwa…
HATUA YA 388: Umeshajiuliza Ni Wapi Unakosea?
Ukweli ni kwamba hakuna mtu asiyependa mafanikio, hata maskini kabisa anatamani sana atoke kwenye umaskini wake awe na mafanikio. Tatizo linakuja kwenye kile ambacho mtu anakifanya ili awe na mafanikio. Sasa cha ajabu ni kwamba watu wanafanya vitu kila siku lakini hawajui kama wanavyovifanya ni sahihi au lah. Leo nataka ujiulize swali hili la muhimu…
HATUA YA 387: Ukikosea Utapigwa..
Shule ya Sekondari niliyosoma kulikuwa na waalimu ambao nawakumbuka mpaka sasa. Mwalimu mmoja alisifika sana kwa kufundisha vizuri sana, Mwalimu mwingine alisifika sana kwa kuchapa viboko. Wote ni waalimu lakini mmoja ana sifa ya kazi yake na mwingine ana sifa ya kuchapa. Hapa kuna kitu cha kujifunza Rafiki wewe unataka sifa gani kwenye kile unachokifanya?…
HATUA 386: Ndoto Yako Inakuhamasisha?
Mhamasishaji wa Kimataifa Les Brown aliwahi kusema kwamba sio kuwa wtau hawana malengo watu wana malengo lakini ni madogo sana kiasi kwamba wanayatimiza haraka sana bila ya changamoto yeyote. Unapaswa kuweka malengo makubwa ambayo hata usipoyafikia basi yatakuwa yamekuwezesha ufike mbali sana. Ndoto yako inatakiwa iwe kubwa kiasi kwamba inakuhamasisha kuamka asubuhi na mapema uende…