Heri Ya Mwaka Mpya, naamini umevuka salama kabisa . Leo nimekuwa nawaza kitu hapa, cha ajabu sana ila utanisamehe kama utaona naenda nje ya misingi yako ya kuamini na kuwaza juu ya Imani. Unajua kuna vitu vingi ukivitafakari kwenye maisha unajikuta unapata picha toafauti ambazo watu wengi hawawezi kuziona kirahisi. Nimejiuliza kwamba mfano Bwana wetu…
All posts in AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
512; Mimi Ni Mtenda Dhambi Kuliko Wewe.
Siku Moja nilikuwa nawaza hivi, “Siku Nikifa Nikakuta hakuna Mungu Nitacheka Sana”, Sauti nyingine ndani yako Ikasema, “Hapo Utakapokuwa Unachekea ni Nani Huyo Atakuwa Amekutengenezea” Ndugu Yangu Mungu Yupo, Ukatae Ukubali………………… Kuna ule mtazamo wa kuwaona watu ambao wamefanya mambo makubwa, na wale wenye ushawishi mkubwa sana kuwa hao ni watu wasio na makossa kabisa.…
511; Unakimbilia Wapi? Tazama Pembeni Yako.
Haya Ndio Maisha yetu kwenye vitu vingi tunavyopitia kila siku, Soma kisa hiki ujifunze: “Habari kaka Jacob, ninaomba ushauri wako kuhusu hili. Ni mwaka wa tatu sasa tangu nikutane na binti mmoja na nikampenda sana. Nina tabia moja huwa sikati tamaa haswa pale ninapokuwa nimekipenda kitu Fulani maishani mwangu. Nimekuwa naamini kwamba ipo siku tu…
510; Ninajihisi Kama Mtu Aliekwama Kwenye Tope.
“Kaka Jacob naomba ushauri wako, sijui hata nifanyeje, huu ni mwaka wa 5 sasa nimekuwa najaribu kuingia kwenye mahusiano tofauti tofauti lakini naambulia kuachwa na kuumizwa. Mara ya mwisho nilikutana na mkaka mmoja ambaye tulianza nae mahusiano kwa haraka na motomoto sana lakini mwisho wake nikaja kuona anaanza kupunguza mapenzi taratibu, kaanza kupunguza mawasiliano na…
509; Penda Tatizo Unalotatua.
Nipo natazama nyimbo YouTube nimekutana na wimbo uliwekwa mwaka 2009. Huo wimbo kwa mimi kuutazama leo pamoja na wengine wengi huyo mwimbaji atalipwa na YouTube (Google) mamilioni ya pesa. Nilichojiuliza ni kwamba huyu mwimbaji wakati anatunga wimbo huenda hakuwahi kuwaza kama mwaka huu 2019 huo wimbo wake bado ungeendelea kuingizia pesa. Nataka niseme na wewe…
VIDEO: Mambo 4 ya Kufanya Unapoamka Asubuhi.
Usiache Ku Subscribe ili ujifunze kwa video nyingine zaidi.