Nilikuwa napitia maisha ya mwandishi mashuhuri kutoka Brazil, Paulo Coelho aliendika vitabu vingi kikiwemo cha The Alchemist. Mojawapo ya jambo gumu alilowahi kupitia maishani mwake ni alipokuwa na umri wa ujana yaani miaka ya 18-20 aliwahi kupelekwa hospitali ya vichaa mara tatu na wazazi wake. Wazazi wake waliziona tabia zake na kufikiri ni mtu aliechanganyikiwa…
All posts in USHAURI
470;USHAURI: MUONDOE CHUMA ULETE HUYU KWENYE PESA ZAKO.
Mojawapo ya vitu vinavyowafanya watu waishi maisha ya magumu sana hapa duniani ni kukosa namna bora ya kupangilia na kuendesha maisha yao. Kingine ni kwamba wengi wanapenda kuishi maisha ya kuiga, kwasababu umeona jirani yako ana maisha Fulani hivi na wewe unataka uanze kuishi hivyo. Sio vibaya kutamani vitu vizuri kwenye maisha yako lakini ni…
400: Hakuna AnaeKulazimisha.
Ulipokuwa mtoto kuna nyakati ulikuwa ukichelewa kuamka unakuja kuamshwa na viboko au wakati mwingine unamwagiwa maji. Kuna wakati pia ulikuwa unalazimishwa kusoma kwa bidii na unaambiwa uweke maji kwenye beseni ili usisinzie. Naomba ujiulize hivi sasa ni nani tena anaekulazamisha tena ufanye kazi kwa bidii ili uwe na pesa? Ni nani tena anaekuja kukuamsha mapema…
JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA NA KUFIKIA UHURU WA KIFEDHA
SEMINA JANUARY 2017 SIKU YA KWANZA JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA Haijalishi upo kwenye madeni makubwa kiasi gani bado una nafasi ya kutoka na kuanza safari ya kuelekea kwenye uhuru wa kifedha. Ili upate mabadiliko kwenye Maisha yako sio mpaka ufundishwe na mtu aliefanikiwa sana. Unachotakiwa wewe ni kuchukua mafundisho yaliyo sahihi na kuyafanyia kazi…
MAMBO 5 YANAYOKWAMISHA WATU WENGI.
Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama namaanisha vile mtu anakuwa kwenye hali moja kwa muda mrefu. Pata Kitabu: SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO Kama ni kazi anafanya basi anakuwa hana mabadiliko yeyote ya nje au…
MAMBO 6 YANAYOIBA FURAHA YAKO.
Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Habari Rafiki, natumaini unaendelea vyema na kupambana ili Ndoto yako itimie. Usikubali kabisa kuishia njiani, wako wengi wanakutazama na watakuja kunufaika sana na hicho unachokifanya. Leo tunajifunza mambo sita ambayo yamekuwa yanaiba furaha yako bila…