537; Ingia Ndani Zaidi..

537; Ingia Ndani Zaidi..

Watanzania wengi ni wavivu sana kusoma, kabla hujaamini picha ya kichwa cha habari inayosambazwa jaribu kutafuta habari nzima uisome na uelewe. Vichwa vingi vya habari huandikwa kwa namna ya kuvuta wasomaji na bahati mbaya sana wengi wenu huishia kusoma kichwa tu na kufikia hitimisho. Usiwe mwepesi pia kuamini kila kilichoandikwa kwasababu kwenye ulimwengu wa sasa…

536: Huwezi Kuwaridhisha.

536: Huwezi Kuwaridhisha.

Watu wanaweza kukuchukia pasipo na sababu yoyote ya msingi. Inawezekana hata hujawahi kuwasemesha lakini wakakuchukia. Inawezekana hujawawahi kuwatendea jambo lolote lile baya au la kuudhi lakini wakakuchukia tu. Unapaswa tu kutambua kwamba hata ufanye mambo mema kiasi gani hapa duniani huwezi kupendwa na kila mtu. Huwezi kumridhisha kila mtu. Unaweza kuzungumza sentensi moja ikamsaidia mtu…

527; HEKIMA: Kinyozi Anapokosea Kukunyoa.

527; HEKIMA: Kinyozi Anapokosea Kukunyoa.

Kinyozi anapokosea kukunyoa bila kujali amekosea kiasi gani siku zote baada ya muda Fulani nywele huota tena na utaweza kunyoa vile unavyotaka. Unapopoteza fedha haijalishi ni nyingi kiasi gani kama ni wewe mwenyewe ulizitafuta basi utaweza kuzipata tena. Unapoachwa na mpenzi ambaye ulimpenda sana bila kujali alikuwa mzuri kiasi gani, bado ipo siku utakuja kukutana…

526; HEKIMA: Sumu Niliyowekewa Kwenye Chakula.

526; HEKIMA: Sumu Niliyowekewa Kwenye Chakula.

“Ilikuwa ni siku za mwisho wa mwaka ambapo tulikuwa na utaratibu wa kwenda kuwasalimia ndugu na jamaa ambao hatujawaona miaka mingi. Katika kuwatembelea ndugu jamaa na marafiki wengi siku moja nikapitia kwa ndugu mmoja ambaye hatukuonana muda mrefu sana. Huyu ndugu baada ya kunipokea alinisisitiza sana nile chakula. Nilimkatalia kwasababu nimepita nyumba nyingi na nimeshakula.…

525; HEKIMA: Ni Wewe.

525; HEKIMA: Ni Wewe.

Ni wewe utawajibika pale unapoingia kwenye matatizo bila kujali ni nani aliyeyasababisha. Ni wewe utatakiwa kuchukua hatua pale mambo yanapokuwa magumu kwasababu ya uzembe unaoufanya sasa. Ni wewe utakalipa gharama za ulaji mbovu unaokula sasa pale utakapoanza kusumbuliwa na magonjwa. Ni wewe utakaelipa gharama ya ujinga unaoundekeza sasa hivi, unaambiwa ujifunze hutaki, Unaambiwa uweke akiba…

522; HEKIMA: Kabla Hujakata Tamaa

522; HEKIMA: Kabla Hujakata Tamaa

Jaribu Tena, ndio nasema jaribu tena bila kujalisha umeshajaribu mara ngapi. Jaribu tena ukiwa na uhakika kwamba kuna jipya ulilojifunza kichwani kwako. Jaribu tena bila ya kuhofu labda utakosea tena. Kama tayari kuna somo umepata kwenye kushindwa kwako basi utakuwa na ujasiri wa kujaribu tena. Watu wengi hukata tamaa kabla hawajakaa chini na kujitazama ni…

515; Sehemu 3 Muhimu sana za Kuwekeza kwenye Maisha Yako Kila Siku.

Hello Rafiki yangu, leo ni siku ya kumi yam waka 2020 siku zinaendelea kukatika bado kidogo tutasikia mwaka upo nusu. Je bado waendelea kusubiria kidogo ndio uanze kufanya mambo yako? Rafiki yangu utachelewa sana kama hutakuwa mtu wa tofauti. Mwaka mpya bila ya akili mpya mtazamo mpya, hakuna kitakachobadilika. Aya ngoja niachane na hayo usije…

514; HEKIMA YA LEO Upendo Ni Amri

Siku zote amri inapotolewa kinachofuata huwa ni Utii na unaposhindwa kutii amri maana yake wewe unakuwa muasi. Kwa serikali zetu ukiasi kinachokujia ni hukumu wakati mwingine hata kifo kutegemea na yule aliekupa amri. Sasa tukisoma kwenye neno la Mungu Yohana. 13:34 Amri mpya nawapa, Mpendane. Maana yake kupendana na ndugu zako, watu waliokuzunguka, ni amri sio…

512; Mimi Ni Mtenda Dhambi Kuliko Wewe.

Siku Moja nilikuwa nawaza hivi, “Siku Nikifa Nikakuta hakuna Mungu Nitacheka Sana”, Sauti nyingine ndani yako Ikasema, “Hapo Utakapokuwa Unachekea ni Nani Huyo Atakuwa Amekutengenezea” Ndugu Yangu Mungu Yupo, Ukatae Ukubali………………… Kuna ule mtazamo wa kuwaona watu ambao wamefanya mambo makubwa, na wale wenye ushawishi mkubwa sana kuwa hao ni watu wasio na makossa kabisa.…

Subscribe