Mambo uliyokuwa huyajui Kuhusu Ajira

Habari za Leo Msomaji wetu. Tunakwenda kuzungumzia kwa kifupi juu ya ajira na waajiriwa na jinsi ya kujitoa kwenye kongwa hili. Ni kweli tunategemeana katika maisha yetu mwenye biashara anategemea wafanyakazi ili aweze kukuza zaidi biashara yake. Lakini bado hiyo haitakiwi kuwa sababu ya wewe kutofanya kitu kingine na kubakia unategemea mshahara peke yake.  Mabadiliko…

Nguzo 10 za Mafanikio

Habari za Leo ni matumaini yangu u mzima na unaendelea vyema. Leo tuanajifunza nguzo 10 za mafanikio yako. Ukiweza kuzisimamia nguzo hizi lazima utaona mabadiliko na kusonga mbele kuelekea kwenye ndoto zako. Karibu tujifunze pamoja mpaka mwisho. Jua kusudi la kuzaliwa kwako. Nguzo ya kwanza na ya muhimu sana ni wewe kutambua kwanini ulizaliwa. Upo…

WEWE NI MSHINDI

WEWE NI MSHINDI

Mshindi ni mtu alieshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kua umeshinda, kua hai leo ni ushindi, kuwa na Mungu mpaka sasa huo ni Ushindi, kuweza kujifunza semina na kufuatilia mafundisho kama haya wewe ni mshindi. Embu jiulize ni watu wangapi ulikua unawafahamu leo hawapo duniani? Wewe umeshinda Mungu kakuweka duniani ili uendelee kushinda. KWANINI WEWE…