HATUA YA 390: Kumbuka Kitu Hiki Pale Wengine Wanapokukatia Tamaa.

Siku moja nilikutana na kijana mmoja anaitwa Baraka ambaye alikuwa na changamoto ya kukatiwa tamaa yaani kuchokwa na watu wa karibu yake kama wazazi, mpenzi wake na kadhalika. Baraka alinieleza kuwa ilifika mahali akasema sasa afanye nini tena maana kila anachokifanya wale waliomkatia tamaa wanakuwa wanaendelea kumkatisha tamaa. Ilifika mahali akiwaeleza wazo lolote jipya ambalo…

KANUNI 10 ZA MAFANIKIO ANAZOPASWA KUZIJUA MJASIRIAMALI.

Habari rafiki, leo kwenye ujasiriamali tunakwenda kujifunza juu ya kanuni 10 ambazo unapaswa kuzijua wewe mjasiriamali. Ni imani yangu kwa kupitia makala hii utatoka na mwangaza kwenye kile unachokifanya. Kila mmoja anamtegemea mwenzake, kwa kupitia unachokifanya kuna watu wamerahisishiwa maisha yao. Wewe pia kuna watu wengi sana wanahusika kukufanya wewe uishi kwa urahisi. Ni muhimu…

Nguzo 10 za Mafanikio

Habari za Leo ni matumaini yangu u mzima na unaendelea vyema. Leo tuanajifunza nguzo 10 za mafanikio yako. Ukiweza kuzisimamia nguzo hizi lazima utaona mabadiliko na kusonga mbele kuelekea kwenye ndoto zako. Karibu tujifunze pamoja mpaka mwisho. Jua kusudi la kuzaliwa kwako. Nguzo ya kwanza na ya muhimu sana ni wewe kutambua kwanini ulizaliwa. Upo…

Subscribe