Kinachoangusha mtu sio shoka moja lilipigwa kwa nguvu bali ni mkusanyiko wa kukatwa kidogo kidogo hadi mti unafikia hatua unakuwa umeanguka. Yale mambo makubwa unayotaka kuyafanya kwenye maisha yako unaweza kuyatimiza tu endapo utaamua kuanza kwa hatua ndogo ndogo. Angalia ni kitu gani kidogo tu ambacho unaweza kufanya na kisha ukifanye. Usikae na kusema sina…