Habari za leo Rafiki yangu? Unaendeleaje na Maisha? Natumaini unaendelea vyema sana. Nina zawadi nzuri sana nimekuandalia ndani ya mwaka huu 2017 mojawapo ya zawadi hizo ni kuchapisha kitabu nilichoandika kwa ajili yako. Kitabu hiki kitakuwa ni zawadi ya kwanza ambayo nitaanza kukupatia mwezi wa February. Kitabu hiki kimebeba mambo saba ya muhimu ambayo unatakiwa…
HATUA YA 29: Sio Kila Vita Upigane wewe!
Kuna baadhi ya watu huwa unawakuta kwenye kila kitu. Kila kinachokuja kipya anakuwepo ndani yake. Kila fursa mpya unayotokea unataka ufanye. Mafanikio hayatakuja kwa kufanya vitu vingi bali kwa kufanya mambo machache hadi yakakuletea matokeo. Jifunze kufanya jambo moja hadi lilete matokeo. Nikwambie ukweli kama unachokifanya sasa kuna watu wanaendelea kukifanya na wana mafanikio makubwa…
HATUA YA 28: Unaweza Kutoka hapo Ulipo.
Haijalishi upo kwenye hali gani sasa bado unayo nafasi ya kusimama tena. Inawezekana ulishasema haiwezekani lakini leo nina neno kwa ajili yako. Unaweza kufanya mambo makubwa sana. Njia za wewe kufanikiwa zinaendelea kufunguka kila, ni wewekufungua macho na kuziona. Ili utoke hapo ulipo ni lazima uamue kuchukua hatua ya kubadili Maisha yako. Lazima ukubali kufanya…
JINSI YA KUZISHINDA CHANGAMOTO UNAZOKUTANA NAZO KWENYE UJASIRIAMALI NA BIASHARA.
Habari za leo Mwanamafanikio mwenzangu. Najua una pilikapilika nyingi kipindi hiki cha siku kuu. Lakini mimi pia bado nipo kwa ajili yako. Hivi unajua kwamba kipindi hiki watu ndio wananunua Zaidi? Kama ni hivyo basi wauzaji wananufaika sana. Je wewe umefanikiwa Kuuza chochote siku kuu hizi? Kama hujafanikiwa basi mwaka 2017 usikupite hivi hivi jipange…
HATUA YA 27: Acha Kujikataa,
Pale inapofika wakati ukaanza kujiona huwezi vitu Fulani kwasababu ya elimu yako ndogo unapoteza uwezo wako mkubwa taratibu. Kuna maneno ambayo ni hatari sana kujitamkia kwenye Maisha yako kwani yanakuharibu kabisa. Yanakufanya ushindwe kwenye kila jambo unalofanya. Haya; Mimi sina Elimu ya Kutosha hivyo hii biashara siiwezi! Kwetu ni maskini sana hakuna hata mmoja tajiri!…
NAMNA YA KUWEZA KUFIKIA MAFANIKIO NA BIASHARA YAKO
Habari za leo Rafiki? Ni siku nyingine tena ya Baraka sana kwangu. Natumaini na kwako ni ya baraka Pia. Tunapopata nafasi ya kuwa na nguvu ya kuendelea kufanya yale tunayafanyayo ni vyema sana kushukuru. Mwaka ndio huoo unaanza kwenda wewe unaelekea wapi? Leo ni tarehe 9 siku tisa zimeshapita wewe umeshaanza kuacha alama gani…
HATUA YA 26: Tatizo sio Pesa Tatizo ni Wewe,
Tatizo sio kwamba huna pesa tatizo ni fikra zako juu ya pesa zilivyo. Unafikiri kwamba siku ukipata pesa utafanya hivi na hivi. Ukweli ni kwamba pesa unazipata kila siku lakini hujui. Ukibadili unavyofikiri juu ya pesa utakuwa umebadili matatizo yako ya kipesa yote. “The greatest of evils and the worst of crimes is poverty… our…
HATUA YA 25: Huyu ndie anaekuweka Mjini,
Kama ulikua hujui kwenye hii dunia kila binadamu anauza. Kila mtu kuna kitu anauza au kama hauzi basi hajajua kama anauza. Unatakiwa ujue ni kitu gani hasa unakiuza ili uweze kukiuza vizuri. Unatakiwa ujue unaemuuzia ni mtu wa namna gani! Hata kama una bidhaa nzuri kiasi gani kama humjui mteja wako huwezi kuuza vizuri au…