HATUA YA 36: Kwanini Wanakufuata wewe?

Katika Maisha kila siku kuna jambo kila mmoja anafanya kwa ajili ya kufanya Maisha yaende sawa. Karibu kila kitu kinachofanywa kwenye dunia hii kinalenga katika kuyafanya Maisha yaw engine kuwa marahisi Zaidi. Karibu kila biashara ipo kwa ajili ya kutatua matatizo ya wengine. Kabla hujawaza kuuza ili kutatua matatizo yako wewe mwenyewe unatakiwa ujue kwamba…

HATUA YA 35: Usitazame Nyuma.

Mara nyingi unapopitia magumu unatazama nyuma. Haijalishi ni ugumu kiasi gani unapitia sasa Usitazame Nyuma. Endelea kusonga mbele ipo siku utatengeneza hadithi Nzuri ya kuwaambia watu. Kuna msemo unasema au watu wengi hupenda kuutumia hasa wanakuwa wanatoa shuhuda zao. Msemo wa “tumetoka Mbali “ Ni mbali wapi utasema umetoka wakati unashindwa kuvumilia? Ni hadithi gani…

PAST IS ALWAYS PAST FORGET ABOUT IT.

By Mushi Jacob.  Kitu chochote kilichopita kimeshapita. Kiwe kizuri au kibaya kimeshapita.  Kwanini nasema hivyo? Watu wanajikuta wanarudi nyuma Kwasababu ya mambo yaliyopita. Inawezekana mambo haya ni mazuri sana pia yakakurudisha nyuma.  Wana wa Israel walipopitia magumu ya Jangwani wakaanza kukumbuka masufuria ya nyama na pilau waliokuwa wanakula bure.  Unapoacha kazi ukaamua kwenda kujiajiri ukipitia…

HATUA YA 34: Hawa ndio Watu wa Kukaa nao Mbali.

Kitu cha kwanza kinachowapoteza wengine na kuwafanya wengine wafanikiwe ni marafiki. Marafiki wana nafasi kubwa sana katika kuamua hatma yako, hii ni kwasababu maamuzi mengi unayoyafanya yanategemeana na marafiki zako wanafanya nini na watasemaje. Kama una marafiki ambao mara zote wanawaza kushindwa na hakuna chochote wanachojaribu hawa ni wa kukaa nao mbali. Kama marafiki zako…

HATUA YA 33: Hichi ndio Cha Kujivunia.

Unaweza kujivunia cheo, unaweza kujivunia mali nyingi ulizonazo, unaweza kujivunia sura yako nzuri sana, unaweza pia kujivunia umbo lako zuri linalovutia lakini naweza kukwambia hivyo vyoote sio vitu vya kujivunia. Unacho kitu kimoja ambacho unaweza kujivunia kitu hiki ni ile zawadi ambayo Mungu ameweka ndani yako. Zawadi hiyo Mungu ameweka ili uitumie kuwahudumia wengine. Hichi…

HATUA YA 30: Hivi ni Vitu vya Msingi kama unataka kudumu kwenye Mafanikio.

Kama kuna sehemu utakosea ni kusahau kujali vitu vya muhimu sana kwenye Maisha yako wakati unatafuta mafanikio na mali za ulimwengu huu. MAHUSIANO; Wakati unatafuta pesa usijisahau ukaacha kutengeneza mahusiano mazuri na familia au wale unaowapenda. Unaweza kutafuta pesa nyingi sana kwenye dunia hii kisha unashindwa kuja kuzifurahia kwasababu wale unaowapenda na waliokupenda uliwasahau hivyo…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓