Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Wewe ni rafiki yangu wa muhimu sana kwakuwa ndie unanifanya niandike. Naandika ili usome unufaike na maisha yako yawe bora zaidi! Ni furaha yangu kujua unaendelea vyema sana na majukumu yako. Ni wakati mwingine tena tunaenda kujifunza pamoja juu ya mambo mbalimbali ili tuweze kufikia mafanikio kila…
All posts in USHAURI
KINACHOWATOFAUTISHA MATAJIRI NA MASKINI NI HIKI.
Ili uweze kutoka hapo ulipo sasa na kufika sehemu nyingine walipo watu wenye mafanikio makubwa ni muhimu sana kujua ni kitu gani kinawafanya muwe tofauti. Ni kitu gani kinawatenganisha na kuwafanya muitwe majina tofauti. Kitu cha ajabu ni kwamba wote tulizaliwa tukiwa na usawa, yaani kuanzia uwezo wa kufikiri, mazingira, na hata wakati mwingine upatikanaji…
WEWE NI MSHINDI
Mshindi ni mtu alieshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kua umeshinda, kua hai leo ni ushindi, kuwa na Mungu mpaka sasa huo ni Ushindi, kuweza kujifunza semina na kufuatilia mafundisho kama haya wewe ni mshindi. Embu jiulize ni watu wangapi ulikua unawafahamu leo hawapo duniani? Wewe umeshinda Mungu kakuweka duniani ili uendelee kushinda. KWANINI WEWE…
Jinsi ya Kuishinda Tabia ya Kuahirisha mambo.
Tabia moja ambayo inawarudisha wengi nyuma ni tabia ya kuahirisha mambo. Na kuahirisha ipo karibia kila sehemu kuajiriwa, kujiajiri, mambo yako binafsi, karibia kila mahali tabia hii inaingia na imewasababishia watu wengi sana wabaki vile walivyo kwa sababu ya kuahirisha. Umekutana na fursa nzuri sana ikakuhamasisha ukirudi nyumbani yanaanza kukujia mawazo “kwanza sio lazima nianze…