Habari Rafiki yangu, ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na Maisha. Leo nataka nikupe zawadi nzuri sana ya kitabu. Kitabu ambacho utakisoma msimu huu wa siku kuu na kikusaidie uongeze Maarifa ya kuukabili mwaka 2019. Ili upate zawadi hii mwishoni mwa Makala hii kuna sehemuimeandikwa JIUNGE NASI. Hapo utatakiwa uweke email yako na kisha ubonyeze…
All posts in MAFANIKIO MAKUBWA
415; Huwezi Kuwa Kamili Jikubali Ulivyo.
Siku zote kama unaishi na watu ambao unaona kama wamekuzidi vitu vingi, utakuwa unajiona wewe ndio hujakamilika. Unaweza kuona wengine wanavaa vizuri kuliko wewe, wanakula vizuri kuliko wewe, wanaendesha magari mazuri kuliko wewe, wana wenza wazuri kuliko wewe. Hii inasababishwa na wewe kujisahau kabisa na kutoangalia vile vizuri ambavyo umebarikiwa. Kama utatumia muda mwingi kutazama…
414; Hujachagua Kuzaliwa, Hujui Utakufa Lini, Unaweza Kimoja Tu.
Maisha ni ya ajabu sana, unazaliwa bila idhini yako mwenyewe, pengine hata wazazi wako hawakutarajia wala kupanga wewe uzaliwe. Na hata kama wakipanga hawawezi kujua kabisa ni mtu wa aina gani anazaliwa, vipimo vinaweza kujua jinsia lakini haviwezi kujua ile jinsia imebeba mtu wa namna gani. Kingine cha ajabu sana sasa ni kuwa hujui utakufa…
413; Huwezi Kutatua Usichokifahamu.
Mimi ni fundi wa kompyuta, inapotokea kompyuta ninayotumia imezima ghafla siwezi kukimbilia kwenda kubadili ule mfumo unaoendesha kompyuta nzima (windows). Hiyo inaweza kuwa ni suluhisho lakini kabla sijafanya hivyo lazima kwanza nianze kujua tatizo ni nini na limesababishwa na kitu gani. Kujua tatizo ndio kutanipa mwangaza wa suluhisho la aina gani linatakiwa. Katika Maisha yako…
412; ImetoshaSasa, Ni Wakati Wako.
Imetosha kuendelea kuwa mtu wa kawaida, Imetosha Kuendele kuitwa maskini. Imetosha kuendelea na hali ile ile ya Maisha kila wakati. Ulisemwa hauwezi kufanya chochote kwasababu umefeli shule imetosha. Walisema wewe hujawahi kufanya jambo lolote la maana imetosha sasa. Ni wakati wako wa kufanya maamuzi ambayo hayana kurudi nyuma tena, ni wakati wa kuamua kuweka historia…
411; Wewe ni Hodari Kwenye Nini?
Kila mtu kuna sehemu ambayo ni Hodari sana kuliko sehemu nyingine. Na hili ndio mojawapo ya mambo yanayotutofautisha wanadamu, unaweza kuwaleta watu kumi wanaofanya kitu kimoja ambacho kinafanana kabisa lakini unakuta kila mmoja ana sehemu ambayo yeye ni Hodari kuliko wengine. Si vyema kabisa kumdharau mwenzako kwasababu ya kile ambacho unadhani unakijua kuliko yeye kumbuka…