Ili uweze kuwa na mwili wenye afya bora lazima ule vyakula bora na kufanya mazoezi. Vilevile kwenye akili yako ni vyema ukapata maarifa ambayo yanakufanya uwe na ufahamu bora. Watu wenye uwezo sana ukiacha wale ambao wana uwezo wa kipekee toka wanazaliwa wengi wanaongeza uwezo wao kwa kusoma vitabu. Soma Kitabu: SIRI 7 ZA KUWA…
All posts in MBINU ZA MAFANIKIO
MAMBO 5 YANAYOKWAMISHA WATU WENGI.
Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama namaanisha vile mtu anakuwa kwenye hali moja kwa muda mrefu. Pata Kitabu: SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO Kama ni kazi anafanya basi anakuwa hana mabadiliko yeyote ya nje au…
Neno moja Unalolihitaji ili Ufanikiwe
Najua unatamani kufanikiwa, sana. Kiasi kwamba ni kitu unachowaambia watu wengi kwenye maisha kwamba utafanya, kinachokufanya ufanye kazi kwa moyo wote, kinachokufanya ufikirie usiku na mchana kuhusu kesho. Mafanikio ni rahisi sana kuyapata ukijifunza nguvu iliyopo kwenye neno moja, HAPANA. Hapana ni neno jema na baya pia. Kama vile kisu kilivyo ukikitumia vizuri ni kizuri,…
Aina 4 za Watu Katika Safari Ya Mafanikio.
Habari Rafiki, leo kwenye mbinu za mafanikio tunakwenda kuwaona watu aina nne tulionao katika safari ya mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanatamani sana kufikia mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanahamasika sana wakiona wengine wamepiga Hatua Fulani kwenye Maisha. Lakini tunatofautiana sana katika hao wengi kwenye mchakato wa kufikia mafanikio. Katika watu wengi waliofikia…
MAMBO 6 YANAYOIBA FURAHA YAKO.
Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Habari Rafiki, natumaini unaendelea vyema na kupambana ili Ndoto yako itimie. Usikubali kabisa kuishia njiani, wako wengi wanakutazama na watakuja kunufaika sana na hicho unachokifanya. Leo tunajifunza mambo sita ambayo yamekuwa yanaiba furaha yako bila…
Sababu kumi za kwanini unahitaji watu ili kufanikiwa maishani
Umeshawahi kuangalia mashindano yoyote? Au sherehe za ugawaji wa tunzo?/ Bai kama umewahi kuangalia kuna kitu ambacho kinajirudia kwa watu wote wanaoshinda. Huwa wanatoa insha ndefu na kutaja majina ya watu waliowasaidia kufika hapo walipo, na wakati mwingine huwa wakilia kwa furaha ya jinsi hao watu walivyohusika katika ushindi wao wa hiyo tunzo au hayo…