Watu wengi huja kwenye Maisha yetu wakiangalia ni kitu gani watapata na ndio maana mara nyingi ukiwa huna chochote huwezi kuwa na watu wengi waliokuzunguka. Natamani wewe usiwe kama watu wa aina hii. Embu nenda kwenye Maisha ya wengine ukiwa na kitu cha kuwapa. Kila mtu ana kitu cha kutoa kwa wengine. Kinachotuzuia ni Ubinafsi.…

