Soma Vitabu Hivi; MAFANIKIO KWENYE BIASHARA SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO USIISHIE NJIANI TIMIZA NDOTO YAKO. MBINU 101 ZA MAFANIKIO UMUHIMU WA MAONO. Kuna aina mbalimbali za watu hapa duniani wenye kila aina ya tabia. Kuna aina ya watu ambao ukikutana nao ukakaa nao dakika chache unapoteza mwelekeo kabisa wa Maisha yako. Watu hawa…
Unazijenga Tabia Kisha Tabia Zinakujenga.
Nakumbuka nimewahi kuandika mahali kwamba “Maisha yako Ni Tabia Zako” yaani vile unavyoishi kila siku ni mkusanyiko wa tabia ambazo umezitengeneza. Ni rahisi sana kutengeneza tabia mbaya kuliko tabia nzuri. Unajua ni kwanini? Mara nyingi tabia mbaya mwanzoni ni nzuri na ni rahisi, tabia nzuri mwanzoni ni ngumu na zinachosha. Unapoanza kuamka mapema utaanza kuona…
USIYAFANYE MAISHA YAKO KUWA MAGUMU 4.
Kuridhika na Mafanikio ya Jana. Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Mojawapo ya tabia ambazo zinawafanya watu wengi kushindwa kufanikiwa au kupoteza kile ambacho wamekuwa…
HATUA YA 348: Hii Ndio Njia Bora Kupima Mafanikio Yako.
Mara nyingi tumekuwa tunafanya mambo kwasababu ya mifumo tuliyoikuta na kuambiwa ni sahihi lakini si kweli. Ukiwa shuleni mnapewa mtihani mmoja wanafunzi 100 na mnapimwa viwango vyenu vya mafanikio kwa mtihani mmoja. Lakini ukweli ni kwamba unaweza kupata sifuri kwenye mtihani lakini bado kuna jambo jingine unaweza kulifanya vizuri kuliko wale wenzako 99. Inawezekana wewe…
HATUA YA 347: Vita Inapokuwa Ngumu..
Ukiona ugumu unazidi tambua ya kwamba ndio mwisho wa pambana unakaribia. Ukiona changamoto zinazidi kuwa nyingi basi ujue kuna sehemu unakaribia kuvuka. Mbegu ikifukiwa chini baada ya muda huanza kuota wakati wa kuota sio wa mchezo. Ni mapambano kati ya mbegu inayojitoa kutoka kwenye maganda yake na kukutana na ardhi kwa juu. Lazima ikubali kusukuma…
USIYAFANYE MAISHA YAKO KUWA MAGUMU (Sehemu ya 3)
Kokosa Vipaumbele. Hakuna Maisha ya hovyo na magumu hapa duniani kama Maisha yasiyo na vipaumbele. Rafiki yangu lazima ujue una mambo gani unatakiwa kufanya na hayo mambo yasiweze kuingiliwa na ratiba nyingine yeyote isiyo ya umuhimu. Kuna watu wanaishi Maisha ya ajabu kweli yaani unakaa unangojea jambo litokee ndio uchukue Hatua. Unasubiri wanaokudai watakuaibisha ndipo…
HEKIMA YA LEO: Usiyafanye Maisha Yako Kuwa Magumu (Sehemu ya 2)
Ugumu wa Maisha wa Kujitakia. Ni vizuri ukatambua kwamba ili uweze kufika viwango vya juu Zaidi ya hapo ulipo sasa hivi lazima ukubali kufanya maamuzi magumu. Maisha yako hayatakiwi kuwa magumu Zaidi ya inavyotakiwa, wewe mwenyewe kuna sehemu umesababisha kuongezeka kwa ugumu. Kushindwa kufanya maamuzi magumu lazima itakugharimu ugumu Zaidi wa Maisha yako. Upo kwenye…
HEKIMA YA LEO: Usiyafanye Maisha Yako Kuwa Magumu. (Sehemu ya Kwanza)
#Ni kweli Maisha hayajawahi kuwa marahisi ila kuna sehemu unaweza kuwa unazidisha ugumu wewe mwenyewe. “Pale ambapo wewe ni Mjinga Ndipo Wengine Wanakufaidi” #Ni kweli huwezi kujua kila kitu na ndio maana kwa vile vitu ambavyo huvijui lazima ulipie gharama za kujua. Bahati mbaya sana wengi tunashindwa kutambua ni vitu gani hasa tunavihitaji na kujikuta…