#Maji ni kimiminika ambacho kinatumika katika vitu vingi sana kwenye Maisha yetu. Ili uweze kuyatumia maji lazima uwe na lengo la kuyatumia la sivyo unaweza kuwa na maji na yasiwe na kazi. #Maji ukichanganya na sabuni unapata povu la kufulia nguo. Maji hay ohayo ukiyachanganya na sukari na majani ya chai kisha ukayachemsha unapata chai.…
#HEKIMA YA LEO: Kanuni ya J+F Inavyoleta Matokeo.
Habari Rafiki, siku yako umeianzaje? Unajua kwamba jinsi unavyoanza siku yako ndio na matokeo hufanana hivyo hivyo? Kama umeanza kwa kulalamika basi siku nzima inakuwa ni kulalamika. Chagua kuanza siku yako vizuri ili uwe na matokeo bora. Amka Mapema, Sali, Soma Kitabu, Pangilia Siku yako. Fanya Mazoezi. Leo nakuletea kanuni ya J+F yaani Jua kisha…
HATUA YA 345: Mambo Ambao Wengi Wanakwepa Kufanya.
Kwenye dunia kila mmoja analipwa kwa thamani anayoitoa. Aina ya Maisha unayoishi ni kutokana na thamani unayoipa dunia. Mshahara unaolipwa ni thamani unayoitoa kwa bosi wako. Makossa utakayokuwa unafanya ni kusahau kwamba thamani inaongezwa, na kama inaongezwa basi ujue hiyo uliyonayo kuna kipindi itashuka kama isipoongezwa. Yapo Mambo Ambayo unapaswa Kufanyia kazi Kila Wakati kwenye…
HATUA YA 344: Kuna Kinachobadilika?
Kama kuogopa kwako hakubadilishi chochote kwenye kile unachokiogopa hakuna maana ya kuogopa. Hakuna haja yeyote ya kuwa na woga ama wasiwasi kwasababu hakubadilishi matokeo yeyote katika yale tunayoyaogopa. Kama umeambiwa mafanikio sio rahisi na ukaingia huku una hofu kubwa na mawazo juu ya ugumu ni sawa na kupoteza nguvu zako bure kwasababu kuogopa huko hakubadilishi…
HATUA YA 343: Unalofanya leo, matokeo ni kesho..
Dada mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni kubwa sana sehemu ya mapokezi. Kazi ile ilimpa kiburi sana kwasababu ilikuwa ni kampuni ambayo ina jina kubwa sana. Alikosa adabu kabisa kwa watu ambao hawajui ana alionyesha dharau waziwazi. Kwa unafiki mkubwa alijifanya anawahudumia vizuri sana wale watu wakubwa ambao aliwajua majina na vyeo vyao. Baada ya…
HATUA YA 342: Unaemngoja Anakungoja Wewe.
Inawezekana kuna mtu unamngoja aje afanye jambo kwenye Maisha yako ili yabadilike. Inawezekana kwenye akili yako unasubiri ipo siku mambo yatakaa sawa na kuwa marahisi Zaidi ya sasa. Inawezekana pia kuna muujiza Fulani unautegemea kwenye akili yako utokee ndio kila kitu kibadilike kwenye Maisha yako. Napenda kukwambia Rafiki huyo unaemngoja afanye yote hayo anakusubiri wewe…
HII NDIO NJIA YA PEKEE YA KUISHI MILELE.
Kungekuwa hakunaga kufa kwa namna ninavyoona wanadamu hasa wa Africa wangekuwa wavivu sana kuliko viumbe wengine wote. Nadhani kungekuwa hakuna ambaye anajishughulisha sana kwasababu hakuna kinachomfanya afikirie mbali. Kifo kipo ili kuongeza thamani ya uhai wa mtu. Kama kungekuwa hakuna kifo thamani ya uhai ingekuwa ni ndogo sana. Wandamu wangekuwa hawajali sana kama ambavyo sasa…
JAMBO HILI PEKEE NDIO LITAWAFANYA WATU WAULIZANE.
Inawezekana kwenye uko wenu familia yenu ndio mna hali duni kuliko wengine wote na hivyo kuonekana kama mnawategemea wale ambao wamewazidi. Inawezekana umefeli masomo na hujaweza kufikia elimu ya juu ambayo uliambiwa ndio mkombozi wa Maisha yako. Inawezekana pia umezingirwa na madeni makubwa sana hadi aibu na wakati mwingine unashindwa kupita hata mtaani. Inawezekana unaonekana…