Habari Rafiki, ninayofuraha kukujulisha kwamba Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Watakaofanya mambo makubwa leo hawana siku ya tofauti sana na wewe bali watafanya vitu vya tofauti kwenye siku hii. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “MIMI NI MSHINDI SIKU…
442; SIKU MPYA. AKILI MPYA, NGUVU MPYA, MATOKEO MAKUBWA. – Wewe Unajionaje?
Habari Rafiki, ninayofuraha kukujulisha kwamba Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Watakaofanya mambo makubwa leo hawana siku ya tofauti sana na wewe bali watafanya vitu vya tofauti kwenye siku hii. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “MIMI NI MSHINDI SIKU…
SURA YA 441; Kuchunga Kondoo Ni Darasa.
Kuna vitu huwezi kuvijua mapema kwasababu ukivijua mapema utashindwa kuwa mnyenyekevu katika sehemu uliyopo sasa. Kule mahali Mungu anataka ufike wakati mwingine hatakuonesha mapema kwasababu ukijua mapema unaweza kuanza kuruka hatua nyingine. Tukimuangalia Daud alikuwa mtoto wa mwisho wa baba yake, kaka zake walikuwa wanajeshi, yeye alikuwa mchungaji wa kondoo. Lakini Mungu alishamuandaa kuwa mfalme,…
SIKU MPYA, AKILI MPYA, NGUVU MPYA.
Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE. Mungu alijua kabisa Musa angekulia katika familia yake angekuzwa na mtazamo…
SURA YA 440: Usichanganye na Maji.
Miaka kama 10 iliyopita Kulikuwa na bibi mmoja kijijini kwetu alikuwa anauza maziwa fresh. Maziwa yake yalikuwa ni matamu sana na pia masafi hivyo kusababisha watu wengi kuyapenda na kuyasemea vizuri. Kadiri watu walivyoyasemea vizuri ilifika wale waliokuwa wanauza maziwa kama yeye ikabidi wafunge kwa kukosa wateja. Watu Karibu mtaa mzima ulihamia kwake. Bibi yule…
SURA YA 439; Tabia 6 za Kuacha Mara Moja Ili Usonge Mbele.
Kupuuza Vitu. Moja ya tabia ambayo nimekuwa naiona kwa watu wengi na ni mbaya san ani kupuuzia vitu. Yaani unaoneshwa kitu na bado hutaki kuchukua hatua yoyote hata ya kuuliza tu ili upate ufahamu. Kupuuzia kunaletwa na kujiona wewe unajua au kumdharau yule ambaye anataka kukuonesha au kukulekeza kitu. Ukiwa mtu wa hivi ipo siku…
SURA YA 438; Sio Kama Unavyofikiri.
Kuna watu ukiwatazama kwenye mitandao ya kijamii unaweza kutengeneza picha Fulani ya Maisha ambayo wanaishi na ukaanza kujiona wewe si kitu kabisa. Ukaanza kuona wewe umeachwa sana nyuma na wenzako Maisha yao yako viwango vya juu sana. Ukweli Rafiki ni huu inawezekana ni kweli kabisa wanachoweka mitandaoni ni Maisha yao, sasa wewe ukiumia kuna kitu…
SURA YA 437; Linda Kitu Hiki
Kama watu wangekuwa wananunua vitu kwasababu ya ukubwa au wingi wake basi mawe yangekuwa na thamani kubwa kuliko dhahabu. Hii inamaanisha kuwa haijalishi wewe una uzuri wa namna gani kwa sura yako kama huijui thamani yako utakuwa huna maana. Mtu anaevutwa kwako kwasababu ya muonekano wako wa nje akikaa na wewe baada ya dakika tano…