Jaribu kuvuta picha sasa hivi, upo nyumbani kwenu na hali yako ya kimaisha ni ngumu. Mfukoni huna hata tsh elfu tano, ghafla unapokea simu kwamba maombi uliyowahi kuomba miezi sita iliyopita yamejibiwa. Miezi sita iliyopita zilitokea nafasi za kazi Marekani za kwenda kufanya kazi kwenye kampuni ya tajiri wa kwanza wa dunia. Na wakatoa nafasi…
450; USIISHIENJIANI LEO: Kuogopwa na Kupendwa.
“No one loves the man whom he fears.” -Aristotle Hakuna anaempenda mtu anaemuogopa. Kuna tofauti kubwa ya mtu kukupenda na mtu kukuogopa. Mtu akikuogopa anaweza kufanya kila unachotaka afanye na wewe ukafikiri anakupenda kumbe anakuogopa. Usiwafanye watoto wako wakuogope ili wasifanye yale ambayo hutaki. Watafanya tu wakati wakijua haupo au huwezi kujua. Wakikupenda watakutii na…
449; #USIISHIENJIANI LEO: Unakuwa Kile Unachozungumza.
Kuna mstari unasema “Kimtokacho mtu ndicho Kimjazacho” yaani kile unachoongea ndio kimejaa ndani yako. Ili uweze kubadilisha kinachotoka ndani yako anza kubadilisha unachoingiza ndani. Ukiamka asubuhi unaanza kuingiza vitu gani kwenye ufahamu wako?Unaanza kusikiliza Habari na kutembelea mitandaoni ujue kiichotokea?Anza kubadili unachoongea sasa kwa kubadilisha aina ya marafiki ulionao.Kama watu unaokaa nao mara zote huzungumzia…
448; #USIISHIENJIANI LEO: Ipo Ndani Ya Uwezo Wako.
There is nothing happens to any person but what was in his power to go through with.-Marcus Aurelius Hakuna kitu kinamtokea mtu ambacho hakipo ndani ya uwezo wake wa kupambana nacho.Changamoto uliyonayo sasa una uwezo wa kuishinda.Majaribu ya aina yeyote unayopitia una uwezo wa kuyashinda. Hakuna namna utaletewa jaribu lililozidi uwezo wako. Kinachofanya uone kama…
447; USIISHIENJIANILEO: Sumbua Sumbua Watu Upate Haki Yako.
Nakumbuka mwaka 2016 nilifuatwa na watu mbalimbali wakiomba ushauri na Msaada wa Maisha na biashara. Mtu Anaweza kupiga simu akiwa na hamasa sana ukamwambia nipigie jioni tuongee vizuri, halafu asikutafute tena. Jambo nililogundua ni kwamba Ukitaka kujua mtu amejitoa kiasi gani kwa ajili ya kile anachotaka msubirishe. Kama ni kweli amejitoa na amedhamiria yeye mwenyewe…
446; #usiishienjianileo: Watu Waovu Wanahitaji Kupendwa.
Kumchukia muovu hakusababishi aache uovu wake bali kuchukia vitendo viovu na kuvikemea. Sisi wanadamu tumekuwa wepesi sana kuwahukumu wenzetu na kuonesha waziwazi kwamba wanastahili kupewa adhabu Fulani kutokana na makosa yao na hata kutaka wauwawe. Ni kweli kuna vitendo havivumiliki kabisa kama mauaji, ubakaji, na mengine mengi. Hatuwezi kuundoa uovu duniani kwa kuwaua watu wote…
445; #usiishienjianileo: Ukiwa Juu Unaonwa na Wengi.
Habari Rafiki, ninayofuraha kukujulisha kwamba Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Watakaofanya mambo makubwa leo hawana siku ya tofauti sana na wewe bali watafanya vitu vya tofauti kwenye siku hii. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “MIMI NI MSHINDI SIKU…
444; #usiishienjianileo: Linda Sana Moyo Wako.
Habari Rafiki, ninayofuraha kukujulisha kwamba Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Watakaofanya mambo makubwa leo hawana siku ya tofauti sana na wewe bali watafanya vitu vya tofauti kwenye siku hii. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “MIMI NI MSHINDI SIKU…