#Siri ya Kua Hai Leo 6.

Ni masaa mengine 24 yakwenda kutengeza ndoto zako. Ni masaa mengine 24 yakwenda kuongeza thamani kwa wengine. Ni masaa mengine 24 yakwenda kufanya kile unachokipenda. Ni wakati wako sasa kuamua kwamba unaitumia kila siku vyema ili kufikia yale ambayo umeumbwa ili kuyatimiza. Ni wakati wako sasa wa kwenda kutimiza kusudi la Mungu kukuleta duniani. Ni…

Jikubali Mwenyewe Kwanza.

Kabla wengine hawajaona kilichopo ndani yako ni vizuri zaidi ukawa wa kwanza kukiona na kukijua vizuri. Kabla wengine hawajaanza kukusifia jisifie Mwenyewe  na hapa simaanishi mbele za watu hapa ni wakati ukiwa Mwenyewe chumbani. Kabla wengine hawajakwambia unaweza anza kujiona unaweza, jiambie naweza jione ukiweza jione ukipiga hatua mbele Zaidi. Wewe ni mtu wa pekee…

Jinsi ya kupata wazo la biashara:

Habari za leo ni matumaini yangu kua unaendelea vyema kabisa. Leo tunakwenda kutazama njia tano za kupata wazo la biashara popote pale ulipo. Karibu ujifunze nami. Zipo njia tano ambazo unaweza kuzitumia kubuni wazo bora la biashara katika jamii uliyopo nayo ni: •       1. Kwa kuangalia baadae(future): Kwa kuangalia jamii unayoishi unaweza kugundua baadae mabadiliko yatakuaje…

JIPONGEZE.

Unapotimiza malengo yako haijalishi ni madogo kiasi gani unatakiwa ujipongeze. Kwanini ujipongeze?  Hii inakuongezea hamasa zaidi ya kufanya mambo mengine yanayoendelea. Haijalishi ni Hatua gani umefikia jijengee tabia hii ya kujipongeza mwenyewe hakuna mtu mwingine atakuja akupe pongezi sana sana utaambiwa hongera. Jipatie zawadi ndogo ndogo zile unazozipenda. Haina maana kwamba ukajipe zawadi kubwa ya…

Kusita sita ni Adui wa mafanikio yako. 

Kama Unaogopa hatari, hasara, kupoteza, hautakaa uweze kutoka hapo ulipo. Hautawezw kusogea mbele. Maisha ni kujitoa na kufanya bila kuogopa chochote bila kuogopa changamoto. Kuna vitu huwezi kuvizuia kutokea katika maisha yako na kuna ambavyo unaweza kuvizuia. Usivyoweza kuvizuia Achana navyo wala usivipe nafasi ya kukuzuia wewe kufanya jambo. Jinsi unavyozidi kusita kufanya maamuzi ndivyo…

#Siri ya kua hai leo -5; Fanya Uchaguzi na Fanya Maamuzi Vyema.

Maisha yako yanatokana na uchaguzi na maamuzi uliyoyafanyaga na unayoendelea kufanya kila siku. Ni vitu vichache ambavyo havina uchaguzi yaani kama ni kimoja kipo hicho hicho tu. Ukikosea kwenye kuchagua unakua umebakiza nafasi ya maamuzi. Kwenye maamuzi unaweza kuamua kuendelea na ulichokichagua au kuanza upya. Wewe kama kiongozi wa maisha yako mwenyewe unatakiwa ujue unapoelekea…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓