?USHINDI UNAANZIA HAPA.⚡

Millionaire Mindset Training:?Usizungumze vile ulivyo sasa zungumza vile unavyotaka kua. ?Usijiangalie upo kwenye hali gani sasa hivi na kujidharau angalia ndoto zako na malengo yako makubwa uongeze nguvu. ?Usikatishwe tamaa na watu wanaokwambia haiwezekani kufikia unachokitaka. Kaa mbali na watu hao kwani watakuambukiza upofu wao. ??Usivunjwe moyo na changamoto unazopitia kwani zinakujenga ili uweze kusimama…

Uchaguzi.

Neno Uchaguzi linamaanisha vitu vingi lakini mimi nitazungumzia Uchaguzi wa vitu au Uchaguzi bora katika kuelekea maisha yenye mafanikio. Siku zote kwenye Uchaguzi ili uweze kuchagua kitu kilicho bora lazima vile unavyovichagua viwe vichache.Vikiwa vichache itakusaidia wewe kufikiri vyema na kufanya maamuzi sahihi. Mara nyingi kukiwa na vitu vingi vya kuchagua kunatakiwa kuwe na mchujo…

MAMBO SITA YA MSINGI ANAYOTAKIWA NAYO KIJANA ILI AWEZE KUKUBALIKA KATIKA JAMII

Habari mpendwa na rafiki msomaji wa makala zetu kupitia blog hii. Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vizuri katika utendaji wako. Binafsi ninarudisha sifa na utukufu kwa aliye “chanzo” cha mafanikio yetu. Leo ninawiwa kukuletea makala hii, “MAMBO 6 YA MSINGI ANAYOTAKIWA KUWA NAYO KIJANA ILI AKUBALIKE KATIKA JAMII”. Lakini acha nianze kwa kusema hivi, binafsi…

BARAKA ZA MUNGU ZIKUTANGULIE WIKI HII.

Natamka baraka katika kila unalokwenda kulifanya week hii. Matokeo makubwa zaidi katika kila unalolifanya. Inawezekana umepitia ugumu sana kwenye mambo mengine na wakati mwingine ukataka kukata tamaa.  Week hii ni ya kwako wewe kwenda kufungua kila lilokwama. Hakuna lisilowezekana pale unapokua na imani.  Imani yako ndio itakuwezesha wewe upate chochote unachotaka. Lakini baada ya kua…

Iangalie Ndoto Yako.

Wanapokukatisha tamaa usiwaangalie wao Itazame ndoto yako. Unapopitia magumu usiangalie magumu itazame ndoto yako. Unapoona hupati kile unachokitaka kila wakati kila unapofanya vitu mbalimbali itazame ndoto yako. Ukiona biashara haiendi vyema kama unavyopanga itazame ndoto yako. Chochote kigumu unachopitia usikiangalie usiangalie ugumu itazame ndoto yako. Kwanini nakwambia uitazame ndoto yako? Unapoitazama ndoto yako utapata hamasa…

Vitu Vigumu/Kazi Ngumu.

Kuna kazi ngumu au vitu vigumu vya aina mbili vinavyotumia ubongo na vinavyotumia misuli. Ukiniambia nikuchagulie kitu cha kufanya ili ufanikiwe nitakuonyesha kazi au idea ambayo utatumia akili/ubongo wako zaidi kuliko utakavyotumia misuli yako. Vitu vigumu vinavyoyumia ubongo tunasema ndio vina mafanikio kwasababu ni vitafanya ubongo wako ufikiri sawasawa. Vitu vigumu vyenyewe sio vile ambavyo…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓