476; Unahitaji Watu Zaidi Kuliko Unavyohitaji Pesa.

Mtu Tajiri kuliko wote duniani kwa haraka haraka ukifikiria unaweza kudhani kilichomfanya akawa Tajiri ni pesa zake au akili zake pekee. Ila ukija kutafakari katika upande mwingine unagundua kwamba ukiwa na pesa pekee bila watu utaishia kuzitumia kwa matumizi yako binafsi. Ukiwa na akili nyingi za kugundua vitu halafu huna watu utaishia kugundua tu lakini…

473; Mawazo Ya Mungu Si Kama Ya Mwanadamu.

Kuna namna ambavyo wanadamu tumekuwa tunajaribu kumtafsiri Mungu katika uelewa wetu kitu ambacho tunasahau ni kwamba uelewa wetu bado ni wa kibinadamu. Hivyo kwa vyovyote bado tunamtafsiri Mungu kwa viwango vyetu. Kama Upumbavu wa Mungu ndio hekima ya mwanadamu basi sisi hatuwezi kusema sana juu yake kwasababu bado tutakuwa tunakosea. Yeye aliumba miti ya matunda…

471; MAMBO 7 WANAYOFANYA MASKINI LAKINI MATAJIRI HAWAYAFANYI KABISA.

Kinachokufanya uendelee kubaki hapo ulipo ni kwasababu unataka kufanya kile ambacho kila mtu anafanya na atakikubali. Unajua hata ukileta bidhaa yako sokoni ikakubaliwa na kila mtu hiyo bidhaa inashuka thamani haraka. Unatakiwa ukubali kuwa wa pekee hataka kama watu watakuchukia basi iwe hivyo kwasababu wewe sio kila mtu. Kuna neon moja linatajwa sana kwenye maelezo…

470;USHAURI: MUONDOE CHUMA ULETE HUYU KWENYE PESA ZAKO.

Mojawapo ya vitu vinavyowafanya watu waishi maisha ya magumu sana hapa duniani ni kukosa namna bora ya kupangilia na kuendesha maisha yao. Kingine ni kwamba wengi wanapenda kuishi maisha ya kuiga, kwasababu umeona jirani yako ana maisha Fulani hivi na wewe unataka uanze kuishi hivyo. Sio vibaya kutamani vitu vizuri kwenye maisha yako lakini ni…

400: Hakuna AnaeKulazimisha.

400: Hakuna AnaeKulazimisha.

Ulipokuwa mtoto kuna nyakati ulikuwa ukichelewa kuamka unakuja kuamshwa na viboko au wakati mwingine unamwagiwa maji. Kuna wakati pia ulikuwa unalazimishwa kusoma kwa bidii na unaambiwa uweke maji kwenye beseni ili usisinzie. Naomba ujiulize hivi sasa ni nani tena anaekulazamisha tena ufanye kazi kwa bidii ili uwe na pesa? Ni nani tena anaekuja kukuamsha mapema…