WEWE NI MSHINDI

WEWE NI MSHINDI

Mshindi ni mtu alieshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kua umeshinda, kua hai leo ni ushindi, kuwa na Mungu mpaka sasa huo ni Ushindi, kuweza kujifunza semina na kufuatilia mafundisho kama haya wewe ni mshindi. Embu jiulize ni watu wangapi ulikua unawafahamu leo hawapo duniani? Wewe umeshinda Mungu kakuweka duniani ili uendelee kushinda. KWANINI WEWE…

USIKATE TAMAA

“We are all dreamers creating the next world, the next beautiful world for ourselves and for our children.” Yoko Ono Sisi wote tuna ndoto za kutengeneza dunia ijao, dunia ijao bora sana kwetu sisis na kwa watoto wetu. Usiache kua na ndoto kubwa na kuifanyia kazi. Haya yoote uyaona mazuri yaliyopo duniani sasa hivi kuna…

Faida za Audio Books.

Pamoja na Maarifa makubwa unayoyapata katika vitabu hivi hizi ni faida chache unazoweza kuzipata ndani ya Audio Books. 1. Kuokoa muda.Mara nyingi umekua bize na kazi na unashindwa hata kufanya mambo mengine muhimu. Vitabu hivi vinaokoa muda wako unaweza kusikiliza wakati upo kwenye gari unasafiri au kwenda kazini.Ukiwa nyumbani umechoka unaweza kusikiliza vitabu hivi. 2.…

FANYA MAMBO HAYA NDOTO YAKO IKATIMIE

SOMO: ILINDE NDOTO Ndoto ni nini? Ndoto ambayo tunakwenda kuizungumzia sio ndoto unayoota ukiwa umelala. Ni ndoto ya mchana ni  kile kitu unachotamani kuja kukipata siku moja kabla hujaondoka duniani Ndoto inaweza kua katika makundi ya aina mbalimbali, unaweza kua na ndoto ya kua Rais, Mwimbaji bora, Mchezaji bora, Mwandishi Bora, Mfanyabiashara maarufu. Vile vile…

JIJENGEE TABIA YA KUJIFUNZA KILA SIKU.

Ili uweze kua na ubunifu na uvumbuzi bora lazima ukubali kujifunza. Lazima uipe akili yako chakula ili iweze kukuzalishia matunda bora. Ili ng’ombe atoe maziwa bora anapatiwa majani ya kutosha pumba nzuri na maji ya kutosha. Ukijisahau hujampatia chakula huwezi kupata maziwa ya kutosha kwa ng’ombe. Ilishe chakula bora akili yako ikupatie matokeo bora. Jifunze…

UPO HAI KWA KUSUDI MAALUMU.

  “Kijana mmoja alichukua kisu akataka kujiua kutokana na mateso aliyokua anayapitia. Ukweli mateso aliyokua anapitia ukielezwa unaweza kutoa machozi. Siku hiyo aliamua kuchukua kisu na kuelekea porini kujimaliza kabisa ili aondoke duniani. Alipofika sehemu ile aliyopanga kwenda kujiulia akakutana na kijana mwenzake anatokwa na machozi, akamsihi sana amweleze ni matatizo ambayo anayapitia kijana yule…