Ndani ya jiji lenye watu wengi kuliko miji mingine ndani ya Tanzania jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri. Hivyo basi serikali pamoja na watu binafsi wamekuwa wakiwaza kila siku ni njia gani inaweza kuwa suluhisho la tatizo hili. Katika kufikiri huko kukatokea watu wawili ambao walikerwa sana tatizo hili…
All posts in USHAURI
488; Usiongeze Matumizi, Ongeza Hiki.
Badala ya kubadilisha aina ya maisha unayoishi baada ya kuongezeka kwa kipato Wekeza zaidi kwanza. Badala ya kukununua vitu ambavyo vitakuongezea matumizi ya pesa zaidi nunua vitu ambavyo vitakurahisishia kupata pesa zaidi. Badala ya kuongeza wanawake wengi Wekeza Kwenye baadae ya watoto wako. Badala ya kutaka kila mtu ajue umepata pesa weka nguvu kubwa zaidi…
487; KUNA WATU UMEWAZIDI VITU VINGI, LAKINI WANAFANIKIWA, ZIJUE SABABU ZINAZOKUKWAMISHA.
Umeshawahi kusikia mtu anasema, “Mbona kama wamempendelea yule! sionagi cha maana anachokifanya wala simuelewagi!!” Mwingine anadiriki kusema, “Atakuwa ametoa rushwa kuipata ile nafasi”, “Atakuwa anajuana na mtu kule ndio maana amependelewa” Je na wewe unafikra za aina hii? Ukiona wenzako wanafanya vizuri unafikiri wamependelewa au wana bahati Fulani? Haujawahi kuamini kwamba watu hawa wamefanikiwa kwa…
484; Ukiachwa Ni Nani Anakuwa Amepoteza?
Nilimpenda sana, nilimwonesha mapenzi yote, nilimpa kila alichokuwa anataka lakini nimeambulia kuachwa. Hayo ni mojawapo ya maneno ambayo watu wengi wamekuwa wakiyatoa baada ya kuchwa na wale waliokuwa wanawapenda sana. Nimetafakari nikajakugundua kama ni kweli ulikuwa unamfanyia mambo yote mazuri na kumpa kila alichokuwa anataka halafu akaja akakubwaga ukweli ni kwamba sio wewe uliepoteza bali…
480; Tambua Kusudi La Mungu Maishani Mwako.
Unaweza kujikuta unafanya mambo hayaendi kabisa na wala huoni matokeo yake unayoyataka kwasababu upo nje ya kusudi la Mungu. Mungu hajakuumba kwa bahati mbaya ulikuja kwa kusudi na upo hai ili utimize kusudi. Hakikisha unalitambua kusudi la Mungu maishani mwako ili uweze kuishi maisha yenye furaha na baraka za Mungu. Hujazaliwa duniani ili uje kuzaa…
478; Farasi Anaweza Kukimbia Sana Ila Sio Peke Yake.
Farasi anaweza Kukimbia umbali mrefu ila hawezi Kukimbia bila mpandaji. Mpandaji ndio atadhibiti mwendo na njia anayotakiwa apite. Bila mpandaji huyu Farasi angeweza kupita kwenye njia zisizo sahihi. Angeweza kuvunjika Miguu kwa Kukimbia kupita kiasi. Mpandaji akiwa mwanafunzi lazima awe na Mwalimu wake. Huwezi kuruhusiwa kwenda porini mbali na Farasi wakati wewe bado ni mwanafunzi.…