USIPOCHUKUA HATUA, WENGINE WATAICHUKUA

USIPOCHUKUA HATUA, WENGINE WATAICHUKUA

Mwaka 2016/17 nikiwa Arusha, mimi na rafiki yangu tulipata wazo kubwa: kutengeneza app au mfumo wa kusaidia watu kukata tiketi za mabasi mtandaoni, mkoa kwa mkoa. Tulikaa kwenye hoteli maarufu Palace Hotel, tukapanga kila kitu kwa kina, na kuandika yote kwenye notebook ambayo bado ninayo hadi leo. Tulianza hatua za awali: kutafuta takwimu za idadi…

#KONA YA BIASHARA: Unachoweza Kufanya Ni Kipi?         

Unaweza kuwa na sababu za kila aina zinazoelezea kwanini hadi sasa huna unachokifanya au hujamiliki biashara yako. Swali langu kwako litakuwa ni unachoweza kufanya ni kipi? Tukiacha hizo sababu unazotoa je hakuna hata kitu kimoja kidogo unaweza kufanya? Hakuna kweli? Hakuna unachojua Zaidi ya wengine hapo mtaani kwenu kweli? Hakuna biashara inayoendeshwa hovyo hovyo hapo…

KANUNI 10 ZA MAFANIKIO ANAZOPASWA KUZIJUA MJASIRIAMALI.

Habari rafiki, leo kwenye ujasiriamali tunakwenda kujifunza juu ya kanuni 10 ambazo unapaswa kuzijua wewe mjasiriamali. Ni imani yangu kwa kupitia makala hii utatoka na mwangaza kwenye kile unachokifanya. Kila mmoja anamtegemea mwenzake, kwa kupitia unachokifanya kuna watu wamerahisishiwa maisha yao. Wewe pia kuna watu wengi sana wanahusika kukufanya wewe uishi kwa urahisi. Ni muhimu…

Mambo 5 Ambayo kila Mjasiriamali Anapaswa Kuwa Nayo.

Habari za leo ndugu msomaji wa makala hizi kila siku ndani ya USIISHIE NJIANI. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na maisha yako.  Leo tunazungumzia mambo ambayo kila mjasiriamali anapaswa kua nayo ili aweze kufanikisha kile anachokifanya. Tujifunze pamoja. 1. Mbunifu Mjasiriamali yeyote kama unataka kua wa tofauti na wenzako na kuleta thamani kwa mteja wako…

Vinavyowezekana na Visivyowezekana.

Mara nyingi tunapenda Zaidi kufanya yale ambayo yanawezekana kwenye uwezo wetu wa akili. Sio vibaya lakini unakuwa hakuna cha tofauti ambacho utakipata. Watu wote ambao wameweza kugundua mambo makubwa na yakaleta mapinduzi kwenye dunia na kwenye Maisha yao walijaribu yale ambayo yalionekana kama hayawezekani kabisa. Vile vyote ambavyo vinawezekana vinakufanya wewe uwe sawa na wengine…

Subscribe