492; UTABAKI KAMA ULIVYO USIPOBADILI IMANI.

Tumekuwa tukiishi kutokana na picha ambazo tumejengewa na wale watu tulio waamini sana. Watu hawa wanaweza kuwa ni wazazi wetu, ndugu zetu, viongozi wet una hata waalimu wetu. Kila mmoja amekuwa akituaminisha kwa jinsi alivyoelewa na kuamini. Yako mengi yamekuwa ni makossa na yameendelea kufuatishwa hivyo hivyo bila kujali au yeyote kujiuliza hivi hii ni…

491; Waache Waondoke.

Kuna aina ya watu wanaweza kuja kwenye Maisha yako na kusababisha upoteze kabisa muelekeo wa Maisha. Kile ambacho umekuwa unakipigania na kukisimamia kikaanza kushuka na kupotea. Ni vyema kuwatambua watu wa namna hii mapema kabla hawajachukua nafasi kubwa na kukufanya uwe mtumwa kwao na kusahau kile ambacho ulizaliwa kuja kufanya hapa duniani. Wapo waliongia kwenye…

490; KABLA HUJAMFANYIA MTU UBAYA JARIBU KUONA KWA JICHO HILI.

“Nakumbuka siku moja nikiwa hapa Arusha kabla sijaoa nilipanda daladala kuelekea Tengeru kwenye shughuli zangu za kila siku. Ninaishi Arusha Sanawari hivyo magari mengi ya Tengeru huja yakiwa matupu ili yapakie abiria kwenye kituo cha Sanawari. Siku hiyo kulikuwa na kimvua kidogo ambacho kiliwafanya watu wakimbilie kwenye magari haraka yanapofika tu kituoni. Na mimi nilikuwa…

489; Hizi Ndio Fikra Zinazokufanya Usiendelee Kwenye Maisha.

Ndani ya jiji lenye watu wengi kuliko miji mingine ndani ya Tanzania jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri. Hivyo basi serikali pamoja na watu binafsi wamekuwa wakiwaza kila siku ni njia gani inaweza kuwa suluhisho la tatizo hili. Katika kufikiri huko kukatokea watu wawili ambao walikerwa sana tatizo hili…

488; Usiongeze Matumizi, Ongeza Hiki.

Badala ya kubadilisha aina ya maisha unayoishi baada ya kuongezeka kwa kipato Wekeza zaidi kwanza. Badala ya kukununua vitu ambavyo vitakuongezea matumizi ya pesa zaidi nunua vitu ambavyo vitakurahisishia kupata pesa zaidi. Badala ya kuongeza wanawake wengi Wekeza Kwenye baadae ya watoto wako. Badala ya kutaka kila mtu ajue umepata pesa weka nguvu kubwa zaidi…

487; KUNA WATU UMEWAZIDI VITU VINGI, LAKINI WANAFANIKIWA, ZIJUE SABABU ZINAZOKUKWAMISHA.

Umeshawahi kusikia mtu anasema, “Mbona kama wamempendelea yule! sionagi cha maana anachokifanya wala simuelewagi!!” Mwingine anadiriki kusema, “Atakuwa ametoa rushwa kuipata ile nafasi”, “Atakuwa anajuana na mtu kule ndio maana amependelewa” Je na wewe unafikra za aina hii? Ukiona wenzako wanafanya vizuri unafikiri wamependelewa au wana bahati Fulani? Haujawahi kuamini kwamba watu hawa wamefanikiwa kwa…

Subscribe