Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni furaha yangu kusikia unaendelea vyema na mapambano. Leo tunajifunza mambo matatu ya muhimu unayotakiwa uyapate ndani ya mitandao ya kijamii. Mitandao hii imekua ni sehemu ambayo wengi wetu tunapoteza muda bila kufanya chochote cha maendeleo Kwenye maisha yetu. Ni muhimu sa ujifunze namna ya kuokoa muda wako…
All posts in MAFANIKIO MAKUBWA
SIFA 5 ZA WATU WA KUFANYA NAO KAZI KAMA TIMU BORA YA MAFANIKIO NA USHINDI.
Mojawapo ya changamoto kubwa wanayopitia wengi sana ni kukosa timu ambayo inaweza kuwa sababu ya wao kufikia mafanikio makubwa. Kuna usemi unasema kama ndoto zako, maono yako utaweza kuyatimiza wewe peke yako basi hayo sio maono ya kutoka kwa Mungu. Vilevile kama utaweza kufanya wewe kila kitu na ndoto zikatimia basi hizo ndoto ni ndogo…
MAKOSA 7 YATAKAYOFANYA UPOTEZE KILA UNACHOKITAFUTA
Habari za leo mpendwa Rafiki msomaji, ni matumaini yangu unaendelea vyema sana na majukumu yako kila siku. Leo katika kipengele cha mafanikio tunakwenda kuangalia mambo ambayo yanaweza kua sababu ya wewe kupoteza kila ulichonacho kama usipoyarekebisha. Karibu ujifunze nami. Kumsahau Mungu Mara nyingi wengi wakishapata mafanikio makubwa hujikuta wanamsahau Mungu na kudharau hata wale waliokua…
KONA YA BIASHARA: JINSI YA KUPATA MTAJI NA KUANZA BIASHARA YAKO
Kuna mambo machache unatakiwa ujiulize Je eti ni kweli mwaka ujao utakuwa mpya kwako au ni zile kelele tu na hamasa? Una kitu gani unakitegemea kukipata cha tofauti ndani ya mwaka ujao? Umeajiandaa vipi kukipata? Upo tayari kuwa mpya ili upate hayo mambo mapya ya mwaka ujao? Tuachane na hayo twende kwenye mada yetu ya…
KINACHOWATOFAUTISHA MATAJIRI NA MASKINI NI HIKI.
Ili uweze kutoka hapo ulipo sasa na kufika sehemu nyingine walipo watu wenye mafanikio makubwa ni muhimu sana kujua ni kitu gani kinawafanya muwe tofauti. Ni kitu gani kinawatenganisha na kuwafanya muitwe majina tofauti. Kitu cha ajabu ni kwamba wote tulizaliwa tukiwa na usawa, yaani kuanzia uwezo wa kufikiri, mazingira, na hata wakati mwingine upatikanaji…
ZIFAHAMU TABIA 4 ZINAZOWAZUIA WAJASIRIAMALI VIJANA KUFANIKIWA.
Habari rafiki, ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema kabisa. Na ninaamini pia unaendelea kupambana ili kuifanya ndoto yako kuwa kweli. Usiogope wala usikate tamaa hakuna kitu kizuri chenye thamani kubwa kinachopatikana kirahisi. Endelea mbele. Kama tunavyojua mafanikio ni tabia, vilevile kutokufanikiwa ni tabia. Kama kuna tabia ambazo zinaweza kufanyika sababu ya watu Fulani kufanikiwa pia…