SURA YA 426; Hii Ndio Sababu Ya Wewe Kuanza Vizuri na Kumaliza Vibaya.

Hongera sana kwa kuona mwaka mpya, nafurahi pia kuona umesoma Makala hii kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2019. Nimekuwa nahudhuria mikesha na matamasha ya kuingia mwaka mpya na siku zote nimekuwa najifunza kitu ambacho kimekuwa kinajirudia sana. Hakuna mwaka ambao umewahi kutabiriwa mabaya, na hata kama watasema utakuwa mwaka wenye magumu lazima watayataja mazuri…

TUSEMEZANE 425; MAMBO  37 YA NILIYOJIFUNZA MWAKA 2018.

TUSEMEZANE 425; MAMBO 37 YA NILIYOJIFUNZA MWAKA 2018.

Habari Rafiki nimekuwa na utaratibu wa kukuandikia mambo niliyojifunza kila mwaka na mwaka huu hii ndio mojawapo ya mambo ya muhimu kabisa niliyojifunza na ningependa nikushirikishe na wewe. 1 Hakuna kisichowezekana usiipe akili yako kikomo au kusema mimi siwezi hiki. 2 Usipofanya maamuzi magumu hutatoka hapo ulipo hata siku moja. 3 Penda kujaribu vitu ambavyo…

TUKUMBUSHANE TU JUU YA SUALA ZIMA LA MAGONJWA YA ZINAA.

Habari wapendwa nichukue nafasi hii kuongelea juu ya swala zima la magonjwa ya zinaa. Labda tujiulize Magonjwa ya zinaa ni nini? Magonjwa ya zinaa ni magonjwa ambayo yanasambazwa kwa njia ya vitendo vya kijinsia yakiwemo kaswende,kisonono,klamidia,kankroidi,utando mweupe n.k .Magonjwa hayo yamekua tatizo kubwa hasa katika taifa letu la Tanzania ni kutokana na changamoto mbalimbali ambazo…

TUSEMEZANE 424; Ukimpata Usikubali Aondoke.

Katika Maisha tunakutana na watu wa aina mbalimbali wanaweza kuwa wabaya kwetu na wengine huwa baraka kubwa sana kwenye Maisha yetu. Unaweza kukutana na mtu wa pekee sana kwenye Maisha yako na usiweze kujua kwasababu shetani amefunga ufahamu wako usione huyu mtu ni wa namna gani. Ni vyema ukawa na uwezo wa kufahamu wale watu…

NGUVU MPYA 423; Usikae Hapo Muda Mrefu Sana.

Unaweza kufanya mambo makubwa kwenye Maisha yako na ukashindwa kusogea mbele tena kwasababu moja ya kulewa na yale matokeo. Jambo ambalo tayari umeshalifanya na ukashinda halitakiwi liwe ndio jambo unaloliongelea sana kwamba umelifanya. Waachie wengine walizungumzie wewe nenda katafute jambo jingine kubwa Zaidi la kufanya. Sijasema usifurahie matokeo uliyopata bali nasema usifurahie sana hadi ukasahau…

NGUVU MPYA 422; Eneza Habari Njema.

Watu wamekuwa ni mashujaa sana wa kueneza habari mbaya kuhusu wengine, imekuwa ni desturi yetu pia kutoa vipaumbele Zaidi kwenye habari mbaya kuliko njema. Wafuatiliaji wa habari na watoaji wa habari wote wamekuwa wakipendelea Zaidi habari mbaya. Kwenye Maisha yako kama unataka kufanya jambo lenye kuacha alama basi chagua kusema kile ambacho kinawasaidia wengine. Habari…