Mimi ni fundi wa kompyuta, inapotokea kompyuta ninayotumia imezima ghafla siwezi kukimbilia kwenda kubadili ule mfumo unaoendesha kompyuta nzima (windows). Hiyo inaweza kuwa ni suluhisho lakini kabla sijafanya hivyo lazima kwanza nianze kujua tatizo ni nini na limesababishwa na kitu gani. Kujua tatizo ndio kutanipa mwangaza wa suluhisho la aina gani linatakiwa. Katika Maisha yako…
All posts in MBINU ZA MAFANIKIO
412; ImetoshaSasa, Ni Wakati Wako.
Imetosha kuendelea kuwa mtu wa kawaida, Imetosha Kuendele kuitwa maskini. Imetosha kuendelea na hali ile ile ya Maisha kila wakati. Ulisemwa hauwezi kufanya chochote kwasababu umefeli shule imetosha. Walisema wewe hujawahi kufanya jambo lolote la maana imetosha sasa. Ni wakati wako wa kufanya maamuzi ambayo hayana kurudi nyuma tena, ni wakati wa kuamua kuweka historia…
411; Wewe ni Hodari Kwenye Nini?
Kila mtu kuna sehemu ambayo ni Hodari sana kuliko sehemu nyingine. Na hili ndio mojawapo ya mambo yanayotutofautisha wanadamu, unaweza kuwaleta watu kumi wanaofanya kitu kimoja ambacho kinafanana kabisa lakini unakuta kila mmoja ana sehemu ambayo yeye ni Hodari kuliko wengine. Si vyema kabisa kumdharau mwenzako kwasababu ya kile ambacho unadhani unakijua kuliko yeye kumbuka…
410; Unastahili, Usiangalie Nje Yako.
Kuna nyakati unaweza kukutana na fursa mbele yako kabisa halafu ukapishana nayo kama vile hukuiona kwasababu unajiona hustahili. Kuna mambo makubwa yanaweza kujisogeza karibu yako kwasababu ni Mungu anayaleta na anajua wewe unastahili hayo ila kwasababu unajiona wewe ni mdogo sana, wewe ni dhaifu sana hivyo hata uwezo wa kuona fursa ile unakuwa haupo. Inawezekana…
409; Imani Yako Itakuponya au Itakuua.
Katika Biblia vitabu vya Injili tunamwona Bwana Yesu akitenda miujiza kwa kuwaponya vipofu, viwete,na wenye madhaifu ya aina mbalimbali. Siku moja mwanamke alietokwa na damu kwamiaka 12 alipoamua kwenda kulishika vazi la Yesu akiamini kwamba ataponaalipona kweli. Yesu akamwambia Imani yako imekuponya. Ni kweli Imani yake NdioIlimponya. Tukiangalia nyuma kabla hajaamua kwenda kumshika Yesu alikuwa…
408; Utaweza Kuvumilia?
Inawezekana unayatazama Maisha ya watu waliofanikiwa na kujikuta unatamani sana kuishi kama wao na kujiona wewe unaishi Maisha ambayo ni duni sana. Ukweli ni kwamba kuna ambao wanatamani wangekuwa na Maisha ya kawaida kama yako kwasababu ya changamoto kubwa wanazokutana nazo sehemu ambazo wapo. Kama unafikiri utaweza kuvumilia kuandikwa vibaya kwenye magazeti kwa habari ambayo…