HATUA YA 5; Enjoy the Journey.

Mafanikio ni safari na safari yeyote ina changamoto zake. Usione wanaopanda ndege ufikiri huwa nyakati zote ni furaha tu. Kuna wakati ndege hupata misukosuko angani pia. Misukosuko yeyote unayopitia tambua ni safari huwa zipo hivyo. Ukifika wakati wa kula safarini wewe kula,  Ukifika wakati mnatakiwa mpumzike pumzika. Bahati mbaya sana hili gari la Mafanikio unaendesha…

HATUA YA 4; Fanya Kitu

Hakikisha siku haipiti hujafanya kitu katika kufikia ndoto na maono yako. Kila unachokifanya kinasababisha matokeo baadae hivyo Hakikisha siku haipiti hujafanya chochote katika ile ndoto yako. Ghorofa yenye floor 50 huanza kujengwa msingi na hujengwa kidogo kidogo kila siku hadi picha kamili ya jengo huonekana. Usikubali hata siku moja ipite kwako hujafanya chochote katika zile…

WEWE NI MSHINDI

WEWE NI MSHINDI

Mshindi ni mtu alieshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kua umeshinda, kua hai leo ni ushindi, kuwa na Mungu mpaka sasa huo ni Ushindi, kuweza kujifunza semina na kufuatilia mafundisho kama haya wewe ni mshindi. Embu jiulize ni watu wangapi ulikua unawafahamu leo hawapo duniani? Wewe umeshinda Mungu kakuweka duniani ili uendelee kushinda. KWANINI WEWE…

Subscribe