#USIISHIE_NJIANI: Hali Mbaya Uliyonayo Inasababishwa na Hiki

Leo jioni nikiwa nazishika ndevu zangu ghafla katika fikra yakanijia maneno ambayo niliambiwa miaka karibia kumi iliyopita. Kuna mtu mmoja aliniambia “wewe ukiwa na ndevu utakuwa mbaya sana”. Nikabaki najiuliza kwanini haya maneno yamekuja sasa hivi wakati nashika ndevu? Mbona ni muda mrefu sana umepita na nilishayasahau kabisa? Nikagundua kwamba maneno uliyonenewa na watu yanabaki…

VITU MBALIMBALI VYA KUFANYA ILI UWE NA UHURU WA KIFEDHA

Habari rafiki, kwenye maisha ya sasa ili uweze kuishi maisha yale ambayo unayotaka kwa zaidi ya 50% lazima uwe na njia mbalimbali za kukuingizia kipato. Usikubali kutegemea njia moja ya kukuingizia kipato. Hata kama sasa unategemea njia moja anza mpango wa kutengeneza njia nyingine kwa ajili ya vipato. Biashara nyingi kubwa zinaweza kujiendesha zenyewe na…