Ni vyema kwa kila mmoja akaweza kutambua ni wapi ana mapungufu na kuyafanyia kazi kabla hayajaleta madhara kwenye kazi. Kila binadamu ana mapungufu yake ndio maana haupo mwenyewe huku duniani. Kuna sehemu unateleza na yupo mtu ataweza kuwa msaada wako. Unapoyajua mapungufu yako unajipa nafasi ya ushindi mzuri kwenye biashara yako. Ukae ukijua kwamba mapungufu…
All posts tagged mafanikio
HATUA YA 294: Unaposhindwa Jambo Unagundua Hiki..
Sometimes by losing a battle you find a new way to win the war. Donald Trump. Kwenye moja ya vitabu vya Rais wa Marekani Donald Trump amewahi kusema kuna nyakati tunaposhindwa ndipo tunapata njia za kushinda vita. Wakati mwingine tunayachukua makossa yetu na kuyafanya kama alama mbaya juu yetu. Hii inatokana na namna ambavyo uliambiwa…
#HEKIMA YA JIONI; Dunia Haijawahi Kuwa Sawa na Haitaweza Kuwa Sawa.
Kwenye dunia hii haijawahi kutokea hata siku moja kukiwa na idadi kubwa ya watu na watu wote wakawa wanafurahi tu bila matatizo ya aina yeyote. Kuna mambo mengine yanatokea ni mabaya ndio lakini ni kwasababu ya mazuri ambayo yanapaswa kutokea mahali Fulani. Wewe unapovuna mazao mengi shambani na ukapeleka sokoni ukiwa na matumaini ya kupata…
HATUA YA 293: Ulichonacho Sasa Ulishawahi Kutamani Kuwa Nacho.
Do not spoil what you have by desiring what you have not; remember that what you now have was once among the things you only hoped for. -Epicurus Moja ya mambo ambayo yanawafanya watu washindwe kuishi Maisha ya furaha hapa duniani ni kutokujua ni vitu gani wanataka. Unaweza kukuta mtu anapata kila anachokitafuta lakini bado…
HATUA YA 292: Ni Rahisi Sana Lakiniā¦
Ni rahisi sana kulalamika Maisha ni magumu, Ni rahisi sana kutoa sababu nyingi zilizofanya ushindwe, Ni rahisi sana kuendelea kuishi Maisha yale yale uliyoyazoea, Ni rahisi sana kutumia muda wako kufanya mambo ambayo hayana mchango wowote kwenye Maisha yako. Ni rahisi sana kutumia muda wako kufuatilia Maisha ya wengine na huku ukiwa umeyasahau ya kwako.…
KAMA UNA SIFA HIZI WEWE NI MJASIRIAMALI
Habari za leo mwanamafanikio. Leo ninataka kukuonyesha mambo machache ambayo yanaonyesha wewe ni Mjasiriamali. Katika dunia ya sasa tunahitaji watu wengi ambao ni wajasiriamali watu ambao wako tayari kuchukua hatua kubadilisha Maisha ya wengine pamoja na ya kwao wenyewe. 1.Decision maker (Mfanya Maamuzi) Kama wewe una uwezo wa kufanya maamuzi linapotokea jambo mbele yako bila kusita…
HATUA YA 270: Wanakupenda sana ila wanakuharibia Bila Kujua.
Kama ukipata tatizo lolote kwenye maisha yako kuna sehemu ukienda ukajieleza tu unaeleweka na tatizo lako linatatuliwa unaweza kufikiri kwamba upo sehemu nzuri sana. Ukweli ni kwamba upo sehemu ya hatari kuliko nyingine yeyote kwenye maisha yako. Ni rahisi sana mtu kupenda pale ambapo akipeleka matatizo yake yanatatuliwa. Ni hatari sana kama hayo matatizo ulipaswa…
HATUA YA 269: Huhitaji Kikubwa Sana.
Mara nyingi tunafikiri ili ufikie hatua kubwa kwenye maisha lazima uanze na mwanzo ambao ni mkubwa sana. Usifikiri kwamba ukiwa na vitu Fulani na Fulani basi ndio maisha yako yatakwenda vizuri. Kama umeshindwa kutumia rasilimali ulizonazo sasa hivi hata ukipewa kubwa bado utashindwa na unaweza ukaharibu badala ya kutengeneza. Uwezo wako unapimwa kwa namna ambavyo…
HATUA YA 268: Swali La Kujiuliza Unapojua Unachokitaka.
Kujua kile unachokitaka ni jambo la kwanza, kinachofuata ni kufahamu gharama ambazo unapaswa kulipa ili kufika pale unapotaka. Wengi wanaishia kwenye kujua wanachotaka na kukata tamaa baada ya kuambiwa gharama wanazotakiwa kulipa. Ni vyema ukajiuliza maswali haya na ukapata majibu yake wakati unaanza safari yako. Unajua gharama gani unapaswa kulipa ili ufike unakotaka kwenda?…
HATUA YA 267: Nipo Hapa tangu 96!
Siku moja nikiwa maeneo ya stand nikakutana na watu wawili wakigombania Tsh elfu mbili mmoja katika hasira sana akamwambia mwenzake wewe mbona unakuwa kama umekuja stand jana? Kwa hasira sana mwenzake akajibu kwamba nipo hapa tangu mwaka 96 nikashangaa sana kuona watu sh elfu mbili inawafanya wajivunie kuwepo kwenye kitu kile kile bila ya mabadiliko…