KANUNI 10 ZA MAFANIKIO ANAZOPASWA KUZIJUA MJASIRIAMALI.

Habari rafiki, leo kwenye ujasiriamali tunakwenda kujifunza juu ya kanuni 10 ambazo unapaswa kuzijua wewe mjasiriamali. Ni imani yangu kwa kupitia makala hii utatoka na mwangaza kwenye kile unachokifanya. Kila mmoja anamtegemea mwenzake, kwa kupitia unachokifanya kuna watu wamerahisishiwa maisha yao. Wewe pia kuna watu wengi sana wanahusika kukufanya wewe uishi kwa urahisi. Ni muhimu…

HATUA YA 302: Jinsi Unavyopoteza Nguvu Zako Bila Ya Wewe Kujua.

Katika Maisha kuna mambo mengi sana tunafanya kila siku mengine ni kutokana na mazoea yetu na mengine ni yale ambayo tunapanga kufanya. Katika mambo ambayo yanaweza kuwa na athari kubwa kwenye Maisha yako ni yale ambayo umekuwa na mazoea ya kuyafanya. Kutokana na mambo ambayo umezoea kuyafanya kuna ambayo yanaweza kuwa na faida kwako na…

HATUA YA 301: Ukiweza Kuvumilia hiki Lazima Utimize Ndoto yako.

“If you don’t quit, and don’t cheat, and don’t run home when trouble arrives, you can only win.” – Shelley Long Zinapofika nyakati za matatizo kama uispoacha, usipofanya udanganyifu na wala usipokimbia kurudi kule ulipopazoea ni lazima ushinde. – Shelley Long Hakuna hata sehemu moja umeona mtu ameacha kupambana au kufanya kile anachokifanya kwasababu kinamletea…

#HEKIMA YA JIONI: Kuchukua Hatua.

Hatuhitaji watu wengi wanaoweza kulielezea jambo Fulani vizuri bali tunahitaji watu wachache wanaoweza kuchukua Hatua juu ya jambo husika. Tuna upungufu wa watu wanaochukua Hatua ndio maana hatuna maendeleo.   Badala ya kuendelea kuongea maneno matupu fanya kile kilichopo kwenye uwezo wako kwanza. Kwa kupitia hicho ndio utaona uwezekano wa kufanya makubwa Zaidi. Tuna wengi…

UMUHIMU WA KUJITAMBUA NA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO

UMUHIMU WA KUJITAMBUA NA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO

Kujitambua wewe ni nani ni hatua ya kwanza kwako kuanza kufanya mambo makubwa na kutimiza ndoto zako. Watu wengi wanashindwa kujitambua wao ni nani hivyo wanaishia njia bila hata kujua uwezo walio nao. Kama hujajua wewe ni nani huwezi kujua uwezo wako ukoje. Embu jiulize simba mkubwa ambaye hajitambui yeye ni simba hawezi kuwinda. Hawezi…

JINSI YA KUJIJENGEA TABIA YA KUSIKILIZA NA KUJILETEA MAFANIKIO KATIKA MAHUSIANO YAKO NA WENGINE.

Habari za leo Rafiki yangu, ninatumaini unaendelea vyema na mapambano ya kufikia mafanikio makubwa. Ni muhimu utambue kwamba maisha hayatakaa yawe marahisi hivyo basi unachohitaji ni wewe kuwa na ujuzi wa namna mbalimbali ili uweze kuzikabili changamoto unazokutana nazo. Kazi yangu kubwa ni kukupa wewe mbinu mbalimbali ambazo utazitumia zikuwezeshe wewe katika changamoto hizo na…

Utakula matunda ya kinywa Chako.

Maneno yako yanajenga vitu kwenye maisha yako, hata kama hutaona matokeo yake kwa muda huu ipo siku yataonekana hata ikiwa umeshasahau. Ni vyema sana kujitazama sana kile uanchokiongea kinaweza kuleta matokeo gani kwenye maisha yako na kwa wengine. Sio kila neno ni la kutamka, sio kila jambo ni la kuchangia unaweza kujikuta unajichimbia shimo mwenyewe.…

Mambo 5 Ambayo kila Mjasiriamali Anapaswa Kuwa Nayo.

Habari za leo ndugu msomaji wa makala hizi kila siku ndani ya USIISHIE NJIANI. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na maisha yako.  Leo tunazungumzia mambo ambayo kila mjasiriamali anapaswa kua nayo ili aweze kufanikisha kile anachokifanya. Tujifunze pamoja. 1. Mbunifu Mjasiriamali yeyote kama unataka kua wa tofauti na wenzako na kuleta thamani kwa mteja wako…