HATUA YA 19: ASILI HAIBADILIKI.

Mojawapo ya vitu ambavyo havitaweza kubadilishwa ni vile ambavyo aliviumba Mungu. Lakini kila alichogundua mwanadamu unaweza kufikiri namna ya kukiboresha. Mwanadamu ukisema umuongezee kiungo kingine unaharibu mfumo mzima au hawezi kuwa sawa na wanadamu wengine. Huwezi kubadili chochote kinachotokana na asili. Waliojaribu kutuletea vitu ambavyo ni vya asili wakajaribu kurekebisha vinaleta madhara makubwa kwenye Maisha…

HATUA YA 1. Kupiga Hatua Kuna Gharama.

Kwenye safari yetu ya mafanikio kuna vitu vingi tunafanya ili tusonge mbele kila wakati. Ili mtu atoke sehemu moja aliyokuwepo na kusogea mbele anahitaji kulipa gharama. Sio kitu kirahisi kama unavyoweza kufikiri ndio maana sio wote wanaweza.  Watu wengi huingia kwenye biashara au huanza vitu vipya na kutegemea matokeo bila kulipia gharama yeyote. Kama ilivyo…

HATUA YA 17: Tafuta mtu wa Kukukosoa.

Wanadamu kwa asili tunapenda kusifiwa. Pale inapotokea mtu amekukosoa wakati mwingine unaweza kufikiri anakuonea wivu au vingine. Lakini ukweli ni kwamba hatuwezi kukua au kuwa bora bila kupitia changamoto hii ya kukosolewa.Mwandishi huyu anasema “Mjinga yeyote anaweza kukosoa, kulaani, na kulalamika lakini inahitajika tabia na kuweza kujidhibiti ili kuelewa na kusamehe. ~ Dale Carneige Kwenye…

HATUA YA 16; Noa Shoka Lako.

Usiparamie mti wakati shoka ni butu. Utatumia nguvu kubwa sana lakini utapata matokeo madogo. Abraham Lincoln aliwahi kusema kwamba akipewa masaa sita kukata mti atatumia masaa manne kunoa shoka lake. Hii inatufundisha kwamba ni muhimu sana kujiandaa vyema kwa kile unachotaka kufanya. Hii haimaanishi kwamba uchelewe kuanza kwa kisingizio unanoa shoka. Au unajiandaa. Chochote unachotaka…

HATUA YA 15; KUFIKIRI NA KUTENDA.

Kufikiri na kutenda ni vitu viwili ambavyo huwa haviachana popote utakapofanya jambo. Mambo mengi mabaya na mazuri hua yanatokea hapa duniani kwasababu ya hivi vitu viwili. Ukitenda bila kufikiri utapata matokeo mabaya sana. Ukifikiri bila kutenda utabaki bila matokeo yeyote. Haijalishi umefikiri vyema kiasi gani usipoweka kwenye matendo hakuna matokeo utakayopata. Kufikiri bila kutenda kunasababisha…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓