HATUA YA 318: Ukishindwa Wewe, Sio Kila Mtu Atashindwa.

Offa, Ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ “Because a thing seems difficult for you, do not think it impossible for anyone to accomplish.” ― Marcus Aurelius Kwasababu kitu kimeonekana ni kigumu kwako, usifikiri haiwezekani kufakiwa kwa wengine pia. Kuna tabia ya wengi kupenda kutoa mfano wa walio shindwa jambo ambalo wameona unataka kufanya. Pia mtu mwingine…

#HEKIMA YA LEO: Wakati Mwingine Jifunze Kuyatazama Mambo Jinsi Yalivyo Kwanza…

Ni vyema kuelewa kwamba kuna tofauti ya kuwa chanya kwenye mambo na kupotezea ukweli halisi wa jambo lenyewe. Kuna nyakati ili uweze kutatua mambo kwenye maisha yako inakupasa uanze kuyaelewa hayo mambo yakoje. Mfano una matatizo kwenye familia yako hata ukiwa chanya kivipi, na ukaweza kuyaona hayo matatizo sio kitu hakubadilishi ukweli kwamba hayo ni…

HATUA YA 316: Kukosea ni Kujua Njia Nyingi Zaidi.

Ulishawahi kwenda mahali ukapotea njia? Unajua ni faida gani unapata baada ya kupotea njia? Kwanza unakuwa umejua njia nyingine ambayo haiendi kule ulipokuwa unakwenda. Pili utakuwa umegundua njia ambayo itakufikisha kule ulipokuwa unataka kwenda kwasababu ulipopotea uliuliza kisha ukaelekezwa. Sasa kama wewe ulikuwa hujui kule ulipokuwa unakwenda na ukaweza kwenda bila ya kupotea kuna hatari…

HATUA YA 315: Hiki Ndio Kipimo cha Thamani ya Unachokifanya.

Lipo swali moja ambalo unapaswa kujiuliza kila wakati kwenye kile ambacho unakifanya kila siku. Inaweza kuwa ni kazi yako, kipaji, biashara au chochote kile kinachokuhusisha wewe na watu. Ni jambo jema sana kujua maendeleo yako na kama kweli unachokifanya kinaongeza thamani kwa wengine. Lazima ujiulize, Hivi nikiacha leo kufanya hiki kitu Itakuaje? Kama ni ajira;…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓