#HEKIMA YA LEO: Kubali kufundishwa

Ukijifanya unajua, unakuwa mpumbavu. Maana kujifunza ni kama pumzi ukishavuta lazima utoe iliyochafuka kisha uvute tena. Ukikubali kuwa mwanafunzi ndio utaona sehemu nyingi ulizokuwa unakosea. Pia Utagundua kwamba bado kuna mambo mengi hujui. Ukikubali kufundishwa unatakiwa ukubali pia kukosolewa. Unapokuwa na Mwalimu wako akakwambia hapo umefanya vibaya kubali usichukie ili uweze kujifunza zaidi. Wanadamu tunapenda…

HATUA YA 323: Hii Ndio Sababu ya Wengi Kukosa furaha na Kutotosheka.

Kama kila kiumbe hai kitaweza kufuata vile kilivyotakiwa kuishi kila kiumbe kitatosheka. Mwanadamu ndie kiumbe ambaye anaongoza kwa kutokutosheka hapa duniani.  Kutokutosheka ni kile kitendo cha mtu kuacha kutazama vile ambavyo tayari amebarikiwa na kuangalia Zaidi vile ambavyo yeye hana ila wengine wanavyo. Usiache kutembelea Hapa Ujipatie Vitabu Bora vya Mafanikio na Biashara https://jacobmushi.co.tz/patavitabu/ Kama umewahi…

HATUA YA 322: Mambo 26 Niliyojifunza Hapa Duniani. (Happy BirthDay To Me)

Napenda kuchukua nafasi hii ya leo kumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai na nafasi ya kuendelea kuwepo hapa duniani. Nashukuru kwa kipawa hiki cha uandishi ambacho kimekuwa faida kwa wengi ambao wamekuwa wanasoma kila siku hapa. Nimeona nikuandikie mambo 26 niliyojifunza ndani ya miaka hii niliyopo hapa duniani. Kuzaliwa ni kama bahati kwasababu hakuna…

HATUA YA 321: Ukichukua Hatua ya Imani, Utaanza Kuona Usiyoyatarajia.

Kuna Mambo hutakaa uyaone kwenye Maisha yako hadi uamue kuchukua Hatua ya Imani. Hatua ya Imani ni kutoka na bidhaa zako nyumbani kwenda nazo mtaani ukiwa hujui nani atakwenda kuzinunua na ndio mara ya kwanza. Hatua ya Imani ni kuanza kufanya lile wazo ulilokuwa unaogopa sana watu watasemaje au watanionaje. Kuna baraka zitaanza kufunguka kwenye…

HATUA YA 320: Hivi Ndio Namna Ya Kutabiri Mwisho Wako.

Jipatie Vitabu vya Biashara na Mafanikio… https://jacobmushi.co.tz/patavitabu Mti unajulikana kwa matunda yake. Aina ya matunda ambayo mti unatoa ndio tunasema huu ni mti Fulani. Tabia za mtu ndio hatma ya Maisha yake, vile vitu ambavyo unavifanya kila siku ndio vinaonyesha unakoelekea. Kama unadhulumu watu mwisho wako ni mbaya sana, utakuja kudhulumiwa na kupoteza kila ulichonacho. Wewe…

#HEKIMA YA LEO: Kimbizana Na Ndoto Zako.

Hello, Unatumia Mtandao wa Instagram? Bonyeza hapa uni follow ili upate madini ninayoweka kila siku… http://www.instagram.com/jacobmushi Wakati wengine wanakimbizana na fasheni mpya wewe Kimbizana na ndoto yako. Wakati kila mmoja anataka kujionyesha kwa watu, wewe onyesha ndoto zako. Wakati wengine wanakimbizana na matukio wewe Kimbizana na bidhaa zako. Acha kufuata mkumbo, maisha yako sio ya…

HATUA YA 319: Ni Ukweli au Ni Hofu Tu?

Bonyeza hapa upate offa ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ Miaka michache iliyopita katika nchi moja hapa barani Africa kulikuwa na baba mmoja ambaye alikuwa maarufu sana kwa kuuza supu sana pembezoni mwa barabara. Baba huyu hakusoma shule hivyo alikuwa hawezi kusoma magazeti. Masikio yake yalikuwa na matatizo kidogo hivyo hakuweza kusikiliza redio wala taarifa…

#HEKIMA YA LEO: Tafuta Kawaida Nyingine Kila Wakati.

Bonyeza hapa upate offa ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ Tafuta kawaida nyingine kabla hiyo uliyoipata hujaizoea. Mwanzoni unaweza kuona kuna ugumu wa kutimiza jambo Fulani lakini ukishalitimiza unaanza kugundua kumbe ilikuwa ni hivi. Mtoto anapoweza kutambaa hatakiwi kubakia kwenye kutambaa yaani akishazoea tu kutambaa basi anatakiwa aanze kujifunza kusimama na kisha kutembea na kukimbia…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓