Angalia kile watu wengi wanafanya kisha wewe fanya kinyume na wao na utaweza kuwa na mafanikio makubwa. Kama watu wengi hawaamki mapema basi wewe amka mapema kuliko mtu mwingine yeyote. Kama watu wanakuwa bize na simu zao kwenye magari wewe kuwa bize ukisoma kitabu au Makala kama hizi ambazo zitakufanya uwe bora Zaidi. Kama watu…
HATUA YA 376: MAONI YA MTU MMOJA.
Umewahi kuwa na wazo lako zuri sana ambalo linakuhamasisha mno ukakutana na mtu mmoja ukamuelezea na kwa sentensi yake moja aliyokujibu ikakufanya ukaliharibu kabisa wazo lako? Hii imewahi kunitokea mimi sio mara moja ila baada ya mud asana nikajifunza kwamba kila mtu anaona kwa namna yake ya tofauti. Nikajifunza kwamba kabla hujafanyia kazi maoni ya…
UNAITUMIA MITANDAO YA KIJAMII AU INAKUTUMIA WEWE?
Kwa kijana ambaye umefanikiwa kuwepo kwenye karne hii ya 21 ukisema kwamba huna njia ya kufanikiwa utakuwa unajiaibisha. Mabadiliko makubwa sana ya kiteknolojia yaliyopo sasa hivi na yatakayoendelea kuwepo yanarahisisha sana mtu aweze kufikia mafanikio makubwa kwa kutumia vifaa vya kisasa na mitandao ya kijamii. Kama kijana unapaswa kujua ni namna gani unaweza kuitumia mitandao…
HATUA YA 375: Na Hiki Pia Umeamua Wewe.
Unajua kwamba umeamua mwenyewe kufungua Makala hii na kuisoma? Hivyo basi Maisha ya kila siku ni mkusanyiko wa maamuzi ambayo unayafanya kila dakika na kila saa. Kila inapopita dakika kuna jambo umeliwaza na ukafanya maamuzi. Unaamua kukaa kwenye mitandao ya kijamii masaa kadhaa ukipitia mambo ya ajabu ajabu. Ulianza kwa kukumbuka vitu vya jana ukasema…
HATUA YA 374: Weka Bidii Na Ubora Hata Kama Huoni Manufaa Sasa.
Mwaka 2004 nikiwa shule ya msingi Mdawi tulichelewa kuingia darasani mimi na wanafunzi wenzangu na tukachapwa sana viboko. Sababu ambayo ilitufanya tuchelewe kuingia darasani ilikua ni matunda ya mizambarau iliyokuwa nyuma ya shule bondeni. Mizambarau hii ilikuwa imezaa sana na kulikuwa na miti ya mizambarau Zaidi elfu moja kwenye bonde lile la shule yetu ya…
UA KWANZA MZIMU HUU UNAOKUTESA ILI UFANIKIWE.
Kinachofanya ukwame ni vile unapoteza muda kurekebisha makossa ambayo uliyafanya. Kinachokurudisha nyuma ni pale unapotaka kubadilisha mambo ambayo uliharibu. Njia pekee ya kubadili au kuwa mbali na historia mbaya ya Maisha yako ni wewe kuamua kuanza kufuata hatma mpya ya Maisha yako baada ya kulijua kusudi la Maisha yako. Unapowezekeza muda wako kwenye kusudi lako…
HATUA YA 373: Mazao Yakiliwa Na Wadudu Shambani Sio Mwisho Wa Kilimo.
Habari Rafiki yangu, zimepita siku chache kidogo sijakuandikia Makala katika Mtandao wetu. Najua umekuwa unatamani sana kunisoma lakini haikuwa katika uwezo wangu kukuandikia kwa wakati huo. Nimerudi tena, ninaendelea kuandika, ninaendelea kuzungumza na wewe. Sijaacha kuzungumza na watu nilikuwa najaribu kitu kingine cha tofauti ili nione matokeo yake. Halafu Rafiki yangu najua unatumia mitandao ya…
HATUA YA 372: Kama Ukiona..
Kumekuwa na watu wengi ambao wanaweza kuona makossa na matatizo juu ya vitu lakini ni wachache wanaweza kuchukua hatua na kuleta suluhisho. Badala yake wanabaki wakilalamika kwa kusema ingekuwa hivi ingekuwa vile… kama wewe umeweza kuona chochote hakipo sawa basi ujue hiyo ni fursa kwako kuleta mabadiliko mahali pale. Kama umeona kuna watu wanafanya kitu…