Kuna zile nyakati katika Maisha unakuwa katika kupambana huku na kule ili japo upate namna ya kuweza kuinuka na kufikia hatua Fulani ya Maisha. Sasa kuna changamoto nyingi huwa unapitia na mojawapo ni vile watu wanavyokuchukulia. Katika marafiki zako au ndugu kuna wale ambao kwenye akili zako unaanzaga kuwaweka kama ambao utawategemea hivi. Huenda ni…
All posts in AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
499; Njoo Uchukue Milioni Kesho.
Ikitokea Rais amesema vijana wote kesho tukutane nae pale Posta Dar es Salaam Atakuwa anagawa Tsh 1m ukafanyie chochote unachotaka, popote ulipo bila kujali unafanya nini bado nafasi ya kwenda utaipata. Huwezi kusema samahani naomba nije kuchukua keshokutwa, huwezi sema nitakuja jioni naomba unisubiri, huwezi kusema umepata dharura akutumie kwa mpesa. Utakachokifanya ni kwenda na…
496; Ni Mtu Mpya Anatengenezwa.
Njia pekee ya kupata juice ya nanasi ni kulisaga na kulikamua nanasi. Kwa kawaida inaonekana kama ni kuharibu lakini ndio njia ya kupata juice. Kuna mambo yanatokea kwenye maisha kwa nje yanaonekana ni mabaya sana. Kwa nje inaonekana kama umepigwa na Mungu. Nataka nikwambie kuna kitu kipya kinakuja baada ya hayo unayopitia. Kuna bidhaa mpya…
488; Usiongeze Matumizi, Ongeza Hiki.
Badala ya kubadilisha aina ya maisha unayoishi baada ya kuongezeka kwa kipato Wekeza zaidi kwanza. Badala ya kukununua vitu ambavyo vitakuongezea matumizi ya pesa zaidi nunua vitu ambavyo vitakurahisishia kupata pesa zaidi. Badala ya kuongeza wanawake wengi Wekeza Kwenye baadae ya watoto wako. Badala ya kutaka kila mtu ajue umepata pesa weka nguvu kubwa zaidi…
481; Fahamu Kanuni za Maisha Bora.
Kila kitu kina misingi na kanuni zake, maisha nayo yana misingi na kanuni zake. Ili uweze kuishi na kufurahia maisha katika kiwango cha juu unatakiwa kufahamu na kuishi misingi na kanuni. Hizi ni ambazo nimezifanya ziwe kama mwongozo wako. AFYA: Afya ya Mwili. Afya ya Akili. Afya ya Kiroho. Vitu Hivi vitatu ni muhimu sana…
477; Sio Yako Hadi Pale Utakapoitoa Kichwani.
“Kuna kipindi Fulani nilisafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kikazi. Nilipofikia kwenye familia moja ambayo ilikuwa inanifahamu. Sikuwa nawafahamu sana watu kwenye ile familia Zaidi ya baba mwenye familia ambaye alikuwa mwenyeji wangu. Wakati naendelea kukaa pale nilitokea kuzoeana na binti yake sana hadi nikaanza kuona hisia za upendo. Kiukweli nilikuwa namheshimu sana mzee yule…