536: Huwezi Kuwaridhisha.

536: Huwezi Kuwaridhisha.

Watu wanaweza kukuchukia pasipo na sababu yoyote ya msingi. Inawezekana hata hujawahi kuwasemesha lakini wakakuchukia. Inawezekana hujawawahi kuwatendea jambo lolote lile baya au la kuudhi lakini wakakuchukia tu. Unapaswa tu kutambua kwamba hata ufanye mambo mema kiasi gani hapa duniani huwezi kupendwa na kila mtu. Huwezi kumridhisha kila mtu. Unaweza kuzungumza sentensi moja ikamsaidia mtu…

535: Yanapokuja Usiyoyatarajia…

535: Yanapokuja Usiyoyatarajia…

Weka Email Yako Hapa Upokee Makala Kama Hizi Kwenye maisha yetu ya kila siku kuna mambo mengi hutokea na kwa namna moja au nyingine mambo haya yanatuathiri moja kwa moja au kwa sehemu. Kila siku kuna mtu atakuwa amezidiwa na akakimbizwa hospitali, kuna ambaye atafiwa, kuna ambaye atapata ajali, kuna ambaye ataibiwa, kuna ambaye atapoteza…

534: Ni Nini Kitafuata?

534: Ni Nini Kitafuata?

Miaka michache iliyopita kuna vingi vilivyogunduliwa kipindi hiki havikuwepo kabisa na vingine hata havikudhaniwa kama vingewezekana. Kilichofanya haya mambo makubwa tuyaonayo sasa yaweze kutimia ni kile kitendo cha watu kutaka kujua wanawezaje kuleta suluhisho kwenye jamii. Ni muhimu sana kama unataka kuwa mmoja wa watu ambao wataleta mabadiliko kwenye dunia hii basi uweze kujiuliza swali…

532; Uliza.

532; Uliza.

Shida kubwa tuliyonayo watu wengi ni kujipa majibu ya maswali ambayo tunajiuliza wenyewe kuhusu watu wengine. Mara tu unapoingiwa na wasiwasi kichwani mwako juu ya jambo fulani usiishie kujipa majibu mara nyingi utajikuta unajipa majibu ya uongo. Unapojikuta kwenye wasiwasi wa jambo fulani ndani ya akili yako usikubali kujipa majibu mwenyewe ULIZA SWALI. Unapouliza ndio…

531; Ni Hatua Ndogo Ndogo.

531; Ni Hatua Ndogo Ndogo.

Kinachoangusha mtu sio shoka moja lilipigwa kwa nguvu bali ni mkusanyiko wa kukatwa kidogo kidogo hadi mti unafikia hatua unakuwa umeanguka. Yale mambo makubwa unayotaka kuyafanya kwenye maisha yako unaweza kuyatimiza tu endapo utaamua kuanza kwa hatua ndogo ndogo. Angalia ni kitu gani kidogo tu ambacho unaweza kufanya na kisha ukifanye. Usikae na kusema sina…