Habari ya leo ndugu Msomaji. Ni matumaini yangu unaendelea vyema katika mapambano yako ya maisha. Tunaendelea na mfululizo wa Makala za tabia kwasababu mafanikio yeyote yanaletwa na tabia mbalimbali zinazojengwa kwa kurudiarudia kila siku. Kuna vitu ambavyo hutakaa uvisahau maishani mwako hata ukiwa umelala kitandani unaumwa. Mfano ni silabu, a, e, i, o, u hizi…
All posts in BIASHARA NA UJASIRIAMALI
MAMBO 5 YA MUHIMU ILI UWEZE KUFIKIA NDOTO ZAKO.
Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na kupambana katika kutimiza ndoto zako. Leo ninakwenda kukupa njia mambo ya muhimu sana ili wewe uweze kuzifikia ndoto zako na maono yako. Jua kusudi lako Tunajua kabisa ili uweze kuishi maisha yenye furaha na utimilifu kwanza ni kulijua kusudi lako.…
Jikubali Mwenyewe Kwanza.
Kabla wengine hawajaona kilichopo ndani yako ni vizuri zaidi ukawa wa kwanza kukiona na kukijua vizuri. Kabla wengine hawajaanza kukusifia jisifie Mwenyewe na hapa simaanishi mbele za watu hapa ni wakati ukiwa Mwenyewe chumbani. Kabla wengine hawajakwambia unaweza anza kujiona unaweza, jiambie naweza jione ukiweza jione ukipiga hatua mbele Zaidi. Wewe ni mtu wa pekee…
Jinsi ya kupata wazo la biashara:
Habari za leo ni matumaini yangu kua unaendelea vyema kabisa. Leo tunakwenda kutazama njia tano za kupata wazo la biashara popote pale ulipo. Karibu ujifunze nami. Zipo njia tano ambazo unaweza kuzitumia kubuni wazo bora la biashara katika jamii uliyopo nayo ni: • 1. Kwa kuangalia baadae(future): Kwa kuangalia jamii unayoishi unaweza kugundua baadae mabadiliko yatakuaje…
JIPONGEZE.
Unapotimiza malengo yako haijalishi ni madogo kiasi gani unatakiwa ujipongeze. Kwanini ujipongeze? Hii inakuongezea hamasa zaidi ya kufanya mambo mengine yanayoendelea. Haijalishi ni Hatua gani umefikia jijengee tabia hii ya kujipongeza mwenyewe hakuna mtu mwingine atakuja akupe pongezi sana sana utaambiwa hongera. Jipatie zawadi ndogo ndogo zile unazozipenda. Haina maana kwamba ukajipe zawadi kubwa ya…
Kusita sita ni Adui wa mafanikio yako.
Kama Unaogopa hatari, hasara, kupoteza, hautakaa uweze kutoka hapo ulipo. Hautawezw kusogea mbele. Maisha ni kujitoa na kufanya bila kuogopa chochote bila kuogopa changamoto. Kuna vitu huwezi kuvizuia kutokea katika maisha yako na kuna ambavyo unaweza kuvizuia. Usivyoweza kuvizuia Achana navyo wala usivipe nafasi ya kukuzuia wewe kufanya jambo. Jinsi unavyozidi kusita kufanya maamuzi ndivyo…