Unajua hakuna kisichowezekana kwenye dunia hii endapo utakuwa umeweka nia ya dhati ya kutaka kufanikisha. Endapo utaamua kwamba hakuna chochote kinachoweza kukuzuia tena, ukikubali kila kitakachokuja mbele yako kiwe kibaya au kizuri utaamua kukitumia kama silaha ya kukusogeza mbele. Nikuambie kitu mimi sijazaliwa kwenye familia yenye nafuu ya aina yeyote, nimewahi kukosa ada ya shule,…
All posts in MAISHA NA MAHUSIANO
497; Chuki Za Kijinga.
Unaweza ukashangaa sana kumkuta mama anawafurahia Watoto wa wengine na kucheka nao vizuri sana lakini wakati huo huo anamchukia sana mtoto alieko nyumbani kwasababu ni mtoto wa nje. Ulishawahi kukutana na mtu anakuchukia tu kwasababu wewe umefikia hatua Fulani ambayo yeye hajafika utafikiri labda wewe ndio sababu ya yeye kutokufika hapo. Ni ajabu sana kwenye…
Jinsi Ya Kufanya Chaguzi Sahihi kwenye Ulimwengu Wenye Chaguzi Nyingi.
Jiunge na Blog Hii upate makala moja kwa moja kwenye email yako weka email yako hapa
495; Toka Kwenye Maboksi Ya Wengine.
Kuna vile unajihisi wewe haupo sawa kisa tu maisha yako hayafanani na ya fulani. Elimu yako haiendani na watu fulani, huna cheo cha maana kwenye kazi. Naomba nikwambie hayo yote ni maboksi watu waliojitengenezea Usikubali kuishi kwenye maboksi ya wengine Tengeneza boksi lako linalokutosha. Sio lazima uwe na elimu kubwa kama wengine, sio lazima uwe…
494; Endapo Maisha Yote Uliyoishi Mpaka Sasa Yangekuwa ni Ndoto.
Habari Rafiki, leo naomba ujiulize swali hili la msingi sana. Iwapo umeamka asubuhi halafu ukajitazama ukakuta umerudi nyuma miaka 10 au ishirini iliyopita. Yaani kumbe yote yaliyotokea kwenye Maisha yako miaka kumi iliyopita ilikuwa ni ndoto tu ulikuwa unaota usiku wa jana. Swali la msingi la kujiuliza je hiyo ndoto itakuwa inatamanisha kuwa kweli? Je…
493; USIWATHIBITISHIE. (DON’T PROVE THEM WRONG)
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiona watu wanafanya vitu mbalimbali kama ujasirimali, biashara fulani, kazi Fulani, ili tu kuwathibitishia watu fulani waliokuwa wanawaona wao hawafai. Mfano mtu aliambiwa wewe hujawahi kuweza kitu hutaweza biashara. Anaingia kwenye biashara kwa hasira ili tu amthibitishie yule mtu kwamba anaweza. Unaweza kuambiwa wewe huwezi kupata kazi Fulani kwasababu huna elimu…