Kama watu wangekuwa wananunua vitu kwasababu ya ukubwa au wingi wake basi mawe yangekuwa na thamani kubwa kuliko dhahabu. Hii inamaanisha kuwa haijalishi wewe una uzuri wa namna gani kwa sura yako kama huijui thamani yako utakuwa huna maana. Mtu anaevutwa kwako kwasababu ya muonekano wako wa nje akikaa na wewe baada ya dakika tano…
All posts in MAFANIKIO MAKUBWA
SURA YA 436; Usiwe Kigeugeu.
Ukishajua unachotaka hupaswi tena kuwa na hofu yeyote kwamba itakuaje. Leo unasema unataka hiki kesho ukiona wenzako wamefanya kitu kingine wakapata matokeo ya haraka unataka kuacha ili na wewe ukafanye kama wao. Wewe endelea mbele kwenye kile ambacho ulichoamua kukifanyia kazi na ukiweka juhudi za hali ya juu. Usiogope ugumu maana hakuna sehemu ambayo ni…
SURA YA 435; Sio Bahati Mbaya.
Usimcheke mtu kwa hali yeyote anayopitia kwenye maisha yake. Hata kama imechukua muda mrefu usinene mabaya yeyote juu yake. Kuna nyakati unapitia bila kujua, kumbe ni Mungu anakuandaa ili uweze kuwa vizuri sehemu anayotaka akupeleke (kwenye kusudi lake). Musa hakwenda kuishi kwa Faraoh ili ale bata, au asiuwawe. Alipitia kule ili ajifunze uongozi ili aje…
SURA YA 434; Ukifika Katikati Unajikuta Umeshaanza Kingine.
Asilimia kubwa ya watu hupanga malengo mengi wanapoanza mwaka lakini inapofika katikati ya mwaka unawakuta watu wale wale wameshaacha kabisa vile vitu walivyopanga kufanya na kufanya vingine vipya ambavyo hawakupanga kabisa. Hii inasababishwa na kukosa hamasa, kukata tamaa kidogo kidogo na kujikuta umeanza kuvutiwa na jambo jingine ambalo umelisikia. Unaweza kuanza malengo yako kwa hamasa…
SURA YA 433; Ni Matatizo Yako.
Ukisema huna mtaji wa kuanza biashara, hayo ni matatizo yako hakuna anaehusika sio mzazi wala serikali. Ukisema mambo ni magumu kwako hayo pia ni matatizo yako Rafiki, njia pekee ni wewe kutafuta suluhisho na sio kuwabebeshea wengine. Serikali haihusiki kwenye matatizo yako binafsi, unaweza kusema hapa kwamba kuna namna inahusika kwasababu mbalimbali ambazo unatoa lakini…
DALILI 7 ZINAZOONESHA KUWA UTAENDELEA KUWA MASKINI.
Wakati tunaendelea na Maisha yetu kila siku ni vyema kutenga muda na kujifanyia tathmini ya Maisha yako kwa ujumla na vile vitu unavyofanya kila siku ili ujue upo wapi hasa na unakwenda wapi. Bila kujifania tathmini unaweza kujikuta unatumbukia shimoni na usielewe kinachoendelea. Leo nimekuandalia dalili 7 ambazo zinaonesha wewe huna mpango wa kufanikiwa na…