Jaribu kuvuta picha sasa hivi, upo nyumbani kwenu na hali yako ya kimaisha ni ngumu. Mfukoni huna hata tsh elfu tano, ghafla unapokea simu kwamba maombi uliyowahi kuomba miezi sita iliyopita yamejibiwa. Miezi sita iliyopita zilitokea nafasi za kazi Marekani za kwenda kufanya kazi kwenye kampuni ya tajiri wa kwanza wa dunia. Na wakatoa nafasi…
All posts in MAFANIKIO MAKUBWA
450; USIISHIENJIANI LEO: Kuogopwa na Kupendwa.
“No one loves the man whom he fears.” -Aristotle Hakuna anaempenda mtu anaemuogopa. Kuna tofauti kubwa ya mtu kukupenda na mtu kukuogopa. Mtu akikuogopa anaweza kufanya kila unachotaka afanye na wewe ukafikiri anakupenda kumbe anakuogopa. Usiwafanye watoto wako wakuogope ili wasifanye yale ambayo hutaki. Watafanya tu wakati wakijua haupo au huwezi kujua. Wakikupenda watakutii na…
SURA YA 441; Kuchunga Kondoo Ni Darasa.
Kuna vitu huwezi kuvijua mapema kwasababu ukivijua mapema utashindwa kuwa mnyenyekevu katika sehemu uliyopo sasa. Kule mahali Mungu anataka ufike wakati mwingine hatakuonesha mapema kwasababu ukijua mapema unaweza kuanza kuruka hatua nyingine. Tukimuangalia Daud alikuwa mtoto wa mwisho wa baba yake, kaka zake walikuwa wanajeshi, yeye alikuwa mchungaji wa kondoo. Lakini Mungu alishamuandaa kuwa mfalme,…
SURA YA 440: Usichanganye na Maji.
Miaka kama 10 iliyopita Kulikuwa na bibi mmoja kijijini kwetu alikuwa anauza maziwa fresh. Maziwa yake yalikuwa ni matamu sana na pia masafi hivyo kusababisha watu wengi kuyapenda na kuyasemea vizuri. Kadiri watu walivyoyasemea vizuri ilifika wale waliokuwa wanauza maziwa kama yeye ikabidi wafunge kwa kukosa wateja. Watu Karibu mtaa mzima ulihamia kwake. Bibi yule…
SURA YA 439; Tabia 6 za Kuacha Mara Moja Ili Usonge Mbele.
Kupuuza Vitu. Moja ya tabia ambayo nimekuwa naiona kwa watu wengi na ni mbaya san ani kupuuzia vitu. Yaani unaoneshwa kitu na bado hutaki kuchukua hatua yoyote hata ya kuuliza tu ili upate ufahamu. Kupuuzia kunaletwa na kujiona wewe unajua au kumdharau yule ambaye anataka kukuonesha au kukulekeza kitu. Ukiwa mtu wa hivi ipo siku…
SURA YA 438; Sio Kama Unavyofikiri.
Kuna watu ukiwatazama kwenye mitandao ya kijamii unaweza kutengeneza picha Fulani ya Maisha ambayo wanaishi na ukaanza kujiona wewe si kitu kabisa. Ukaanza kuona wewe umeachwa sana nyuma na wenzako Maisha yao yako viwango vya juu sana. Ukweli Rafiki ni huu inawezekana ni kweli kabisa wanachoweka mitandaoni ni Maisha yao, sasa wewe ukiumia kuna kitu…