Kwa kijana ambaye umefanikiwa kuwepo kwenye karne hii ya 21 ukisema kwamba huna njia ya kufanikiwa utakuwa unajiaibisha. Mabadiliko makubwa sana ya kiteknolojia yaliyopo sasa hivi na yatakayoendelea kuwepo yanarahisisha sana mtu aweze kufikia mafanikio makubwa kwa kutumia vifaa vya kisasa na mitandao ya kijamii. Kama kijana unapaswa kujua ni namna gani unaweza kuitumia mitandao…
All posts in MAFANIKIO MAKUBWA
UA KWANZA MZIMU HUU UNAOKUTESA ILI UFANIKIWE.
Kinachofanya ukwame ni vile unapoteza muda kurekebisha makossa ambayo uliyafanya. Kinachokurudisha nyuma ni pale unapotaka kubadilisha mambo ambayo uliharibu. Njia pekee ya kubadili au kuwa mbali na historia mbaya ya Maisha yako ni wewe kuamua kuanza kufuata hatma mpya ya Maisha yako baada ya kulijua kusudi la Maisha yako. Unapowezekeza muda wako kwenye kusudi lako…
JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA NA KUFIKIA UHURU WA KIFEDHA
SEMINA JANUARY 2017 SIKU YA KWANZA JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA Haijalishi upo kwenye madeni makubwa kiasi gani bado una nafasi ya kutoka na kuanza safari ya kuelekea kwenye uhuru wa kifedha. Ili upate mabadiliko kwenye Maisha yako sio mpaka ufundishwe na mtu aliefanikiwa sana. Unachotakiwa wewe ni kuchukua mafundisho yaliyo sahihi na kuyafanyia kazi…
KANUNI YA 10× INAVYOWEZA KUKUFANIKISHA KWENYE MAONO YAKO.
Unafahamu pamoja na kuwajua watu wengi sana katika Maisha yako kuna watu angalau 10 tu ambao wanaweza kuwa tayari kukuinua pale unapokuwa umeanguka chini? Mtu wa kawaida kabisa ana watu wake wa karibu 10 ambao wapo tayari kununua au kuchangia kila anachokifanya. Ukweli ni kwamba hawa kumi wanaweza wasitoshe kununua bidhaa yako au kulipia huduma…
Unazijenga Tabia Kisha Tabia Zinakujenga.
Nakumbuka nimewahi kuandika mahali kwamba “Maisha yako Ni Tabia Zako” yaani vile unavyoishi kila siku ni mkusanyiko wa tabia ambazo umezitengeneza. Ni rahisi sana kutengeneza tabia mbaya kuliko tabia nzuri. Unajua ni kwanini? Mara nyingi tabia mbaya mwanzoni ni nzuri na ni rahisi, tabia nzuri mwanzoni ni ngumu na zinachosha. Unapoanza kuamka mapema utaanza kuona…
HII NDIO NJIA YA PEKEE YA KUISHI MILELE.
Kungekuwa hakunaga kufa kwa namna ninavyoona wanadamu hasa wa Africa wangekuwa wavivu sana kuliko viumbe wengine wote. Nadhani kungekuwa hakuna ambaye anajishughulisha sana kwasababu hakuna kinachomfanya afikirie mbali. Kifo kipo ili kuongeza thamani ya uhai wa mtu. Kama kungekuwa hakuna kifo thamani ya uhai ingekuwa ni ndogo sana. Wandamu wangekuwa hawajali sana kama ambavyo sasa…