Maneno yako yanajenga vitu kwenye maisha yako, hata kama hutaona matokeo yake kwa muda huu ipo siku yataonekana hata ikiwa umeshasahau. Ni vyema sana kujitazama sana kile uanchokiongea kinaweza kuleta matokeo gani kwenye maisha yako na kwa wengine. Sio kila neno ni la kutamka, sio kila jambo ni la kuchangia unaweza kujikuta unajichimbia shimo mwenyewe.…
All posts in MBINU ZA MAFANIKIO
JINSI YA KUGUSA MAISHA YA WENGINE NA KUFIKIA MAFANIKIO.
Habari rafiki, leo tunakwenda kuona njia za kugusa maisha ya wengine ili tuweze kufikia mafanikio ya kweli. Kwenye kila kitu ambacho Mungu ameweka ndani yako ni kwa ajili ya wengine. Kama utaweza kukitumia vyema utakuwa umeweza kuyasaidia maisha yako mwenyewe. Maana ya kugusa maisha ya wengine. Kugusa Maisha ya wengine ni kile kitendo cha kuongeza…
HUU NDIO UKWELI ULIKUWA HUUJUI JUU YA PESA.
Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Wewe ni rafiki yangu wa muhimu sana kwakuwa ndie unanifanya niandike. Naandika ili usome unufaike na maisha yako yawe bora zaidi! Ni furaha yangu kujua unaendelea vyema sana na majukumu yako. Ni wakati mwingine tena tunaenda kujifunza pamoja juu ya mambo mbalimbali ili tuweze kufikia mafanikio kila…
Mambo Unayopaswa Kuyafanya Ukiwa Bado Kijana.
Kama kijana una nafasi kubwa sana ya kufanikiwa endapo utakuwa umejitambua mapema. Kutokana na namna jamii zetu zilizvyotulelea inakuwa ngumu sana mtu kutambua yeye ni nani. Lakini kwa kipindi hiki tunajitahidi kwa namna mbalimbali ili vijana wengi waweze kujitambua na kuleta mabadiliko kwenye Maisha yao na kwenye jamii nzima. Jamii yenye vijana wanaojielewa ni mara…
Usiwe na Tabia za Maji.
Maji hayana umbo wala rangi, ukiyaweka kwenye chombo chochote kile yatachukua rangi ya chombo na umbo la chombo. Ukiyamwaga chini yatachukua vilevile rangi ya pale uliyoyamwaga. Maji siku zote hayana utaratibu yanafuata mkondo uliopo mbele na kuanza kutiririka. Pia yasipowekewa utaratibu mzuri huleta uharibifu mkubwa. Maji hayawezi kupanda mlima siku zote yanakimbilia mabondeni, ukitaka kuyapandisha…
JINSI YA KUISHINDA TABIA YA KUISHIA NJIANI KWENYE MAISHA YAKO.
Tabia ya kufanya jambo kidogo kisha ukaona hakuna matokeo na ukakata tamaa na kwenda kukimbilia kufanya jambo jingine inaweza kuwa sababu ya wewe kutokutimiza chochote kwenye Maisha yako. Kama huna uwezo wa kufanya jambo moja hadi ukahakikisha limekuletea matokeo anza mapema kuitengeneza. Zipo sababu nyingi unaweza kuwa nazo za kwanini umeishia njiani lakini ukweli sababu…